PostGE2025 Emmanuela Mtatifikolo arithi Kiti cha Lukuvi baada ya Ushindi wa asilimia 93.5 Ismani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
ni vyama vya siasa 17 vyenye sifa za kisheria ndivyo vinashiriki chaguzi hizo kote nchini gentleman πŸ’

Vyama 17 ahsante sana πŸ˜€ πŸ˜€ ! Nilijua una akili kumbe nilijikosesha ufahamu tu am out boy!
 
Vyama 17 ahsante sana πŸ˜€ πŸ˜€ ! Nilijua una akili kumbe nilijikosesha ufahamu tu am out boy!
unajiskia uchungu nini gentleman, kwakua chama chako hakina sifa ya kushiriki uchaguzi na hakimo miongoni mwa vyama vya siasa 17 vinavyoshiriki chaguzi ndogo kote nchini?

unafuatilia kwa uchungu sana kinachoendelea, hasa pale Isimani ee?

eti no reform no elections 🀣
 
Chama cha Mapinduzi kinajuwa uchaguzi? Si kilishapinduwa uchaguzi?
 
Chama cha Mapinduzi kinajuwa uchaguzi? Si kilishapinduwa uchaguzi?
Gentleman,
kushiriki uchaguzi, kushinda uchaguzi kwa kishindo na kukamata dola ndio msingi mkuu wa kuanzishwa kwa CCM, kinyume na hapo ni porojo nonsense tupu
 
Kweli kwa wana Mapinduzi ni nonsense wakati vyombo vya dola ndivyo vinavyotumiwa kufanya huu uchafuzi unaouita uchaguzi
dhana potofu useless kama hizo haziwezi kamwe kufanya uchaguzi wa kikatiba usifanyike nchi hii ndugu mdau wa JF, kawaambie na wenzako bila kificho kuhusu hili
 
Stakeholder yeyote (kwenye hizo chaguzi) ambaye hajui mshindi atakuwa nani bila shaka ni mgeni kwenye chaguzi za Tanzania!
 
dhana potofu useless kama hizo haziwezi kamwe kufanya uchaguzi wa kikatiba usifanyike nchi hii ndugu mdau wa JF, kawaambie na wenzako bila kificho kuhusu hili
wewe unaona ni dhana potofu hii ndio kazi ya CCm
 
huo upotoshaji utakuathiri sana kisaikolojia na kamwe hauwezi kuzuia uchaguzi wa kikatiba Tanzania usifanyike ndugu mdau πŸ’
Mmeharibu sana nchi, watu hawana imani tena na mahakama au uchaguzi wowote unaofanyika sasa, unaona sawa lakini hata wewe, familia yako na watu wako mta suffer kwa huu uhuni mnaofanya, bila haki hakuna maendeleo wala amani,Samia ni zaidi ya shetani
 
huenda unaharibu nchi ni wewe na anaeharibikiwa kisaikolojia ni wew pia.

Kama taifa tupo vizuri na tunaelekea pazuri zaidi bila kujali dhana useless na nonsense kama ulizonazo gentleman.

Chaguzi zote za Tanzania zinaendelea kufanywa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi. Na mahakama huru za Tanzania zinaendelea kutekeleza wajibu wake kwa mujibu wa Katiba kama inavyotakiwa.

hakuna mbambamba kwenye hayo gentleman πŸ’
 
KAILIMA na MWAMBEGELE ni wateja watarajiwa wa JEHANAMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…