Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Uchaguzi huru kama lile shetani lililojitangaza limeshinda kwa 98% na sasa linaendelea kuteka na kuua watu,Gentleman kama hufaidiki na mfumo utakuwa na mental illnesshuenda unaharibu nchi ni wewe na anaeharibikiwa kisaikolojia ni wew pia.
Kama taifa tupo vizuri na tunaelekea pazuri zaidi bila kujali dhana useless na nonsense kama ulizonazo gentleman.
Chaguzi zote za Tanzania zinaendelea kufanywa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi. Na mahakama huru za Tanzania zinaendelea kutekeleza wajibu wake kwa mujibu wa Katiba kama inavyotakiwa.
hakuna mbambamba kwenye hayo gentleman 🐒
Congo na Rwanda wanakutafutaKidumu chama cha mapinduzi
sina haya ya hiyo nonsense ndugu mdau. Kwanza unajifanyaje kwa mfano? Au wewe hua unajifanyaga?
huenda 93% ya Emmanuela imekuumiza na kukuchanganya sana 🐒
relax bas ndugu mdau,Wewe maadamu umezowea kuangushiwa makwato na mifupa unaona ndio nyama yenyewe, husikii huoni yaani wewe umshinde Ali Karume kuijuwa CCM ?? Kama umeona ukweli unakuumiza pole sana tafuta matusi ya kunitukana na endelea kula makwato
huenda Dr.Emmanuel John Nchimbi akashinda urasis wa Tanzani uchaguzi mkuu wa 2030 kwa kishindo cha 100% ya kura zote gentleman.Uchaguzi huru kama lile shetani lililojitangaza limeshinda kwa 98% na sasa linaendelea kuteka na kuua watu,Gentleman kama hufaidiki na mfumo utakuwa na mental illness
Ni mtoto wa Lukuvi sio?Wagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara.
Jimbo la Ismani, wagombea 17 wanachuana kuwania nafasi ya Ubunge. Kati yao, wagombea 8 (asilimia 47.06) ni Wanaume na wagombea 9 (asilimia 52.94) ni Wanawake.
Upande wa Kata 12 zinazofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani, jumla ya wagombea 91 wanashiriki, miongoni mwao, wagombea 61 (asilimia 67.03) ni Wanaume na wagombea 30 (asilimia 32.97) ni Wanawake.
UPDATES
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo Ismani Emmanuela Mtatifikolo ametangazwa kuwa Mshindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupata kura 70,905 sawa na asilimia 93.5 katika Uchaguzi uliofanyika Juni 01, 2026 ambapo jumla ya Wananchi 76,556 sawa na asilimia 85 walijitokeza kupiga kura.
Uchaguzi huo umefanyika katika Jimbo la Ismani lenye tarafa tatu ikiwemo Ismani, ldodi na Pawaga ambapo pia Jimbo hilo lina jumla ya Kata 13 na viji 60 vilivyoshiriki katika zoezi la Uchaguzi.
Uchaguzi huo ulifanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, William Lukuvi ambapo Emmanuela ambaye awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara ameshinda nafasi hiyo.
Muda utasema , usije kulia tu na makwato yako unayotupiwarelax bas ndugu mdau,
ushindi wa CCM wa 93.5% kwa mbunge Emmnuela pale Isimani, ni salamu za DR.EMMANUEL JOHN NCHIMBI wa ccm urais uchaguzi mkuu2030,
hii inaweza kukurea zaidi kwasababu haizuiliki
calm down,Muda utasema , usije kulia tu na makwato yako unayotupiwa
Hakuna cha Ramli huyo Nchimbi hawezi katu kuwekwa zaidi ya hapo alipo utakuja kuona.calm down,
huna haja ya kuleta ramli jukwaani maisha hayana extra time
okey sawa ndugu mdauHakuna cha Ramli huyo Nchimbi hawezi katu kuwekwa zaidi ya hapo alipo utakuja kuona.
Ni ndugu zetu hao majiraniCongo na Rwanda wanakutafuta