Emmanuella ampa mama yake zawadi ya jumba la kifahari

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564


Mchekeshaji kutoka Nigeria, Emmanuella
Mchekeshaji maarufu Nigeria na Afrika, Emmanuella Samuel ambaye sasa ana umri wa miaka 10 amemjengea mama yake nyumba ya kifahari na kumpa kama zawadi ya mapema ya Sikukuu ya Krismasi.

Emmanuella amenukuliwa akisema amejenga nyumba hiyo kupitia faida ya kazi yake ya sanaa ya kuchekesha.



Mama wa mchekeshaji huyo amekuwa akionesha ushirikiano katika kukuza kipaji cha binti yake tangu alipoanza kuchekesha akiwa na miaka mitano.



 
Hiyo nyumba niliwah kuiona kwenye muvi ya kinaijeria au kaiba ramani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…