NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Emmanuella keshawiva uyoo,anafaa kwa matumizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingwendu ana maisha gan mazuri mkuu?masanja isingekuwa kujiongeza kuingia kwenye kilimo asingetoboa..walau Joti.Hata bongo.. maisha ya joti, masanja, kingwendu, mpoki.. na madogo wapya kina dulvani.. ni mazuri kuliko wasomi wengi tu
😂😂😂😂😂 yan hatuna hta dalil za kutoka seblen kwa shemeji.Mjuba ndo Kwanza niko na 30 yrs old ndo kwanza nalala Sebuleni, Everyone has its own pace
😂😂dah.sio hivo tu mkuu, hata English uliyoandika hapa ina ukakasi[emoji23]
Mbona Sio jumba la Kifahari? at least ingekuwa Bungalow la kishkaji.....
![]()
Mchekeshaji kutoka Nigeria, Emmanuella
Mchekeshaji maarufu Nigeria na Afrika, Emmanuella Samuel ambaye sasa ana umri wa miaka 10 amemjengea mama yake nyumba ya kifahari na kumpa kama zawadi ya mapema ya Sikukuu ya Krismasi.
![]()
Emmanuella amenukuliwa akisema amejenga nyumba hiyo kupitia faida ya kazi yake ya sanaa ya kuchekesha.
![]()
Mama wa mchekeshaji huyo amekuwa akionesha ushirikiano katika kukuza kipaji cha binti yake tangu alipoanza kuchekesha akiwa na miaka mitano.
![]()
Watoto wa diamond wanapigane pesa mkuu ?Sanaa inalipa sana..
Mtoto ukimtumia vizuri anajitafutia ada.. na wewe anakukomboa..
Tazama watoto wa diamond.. ama mai zumo na dogo sele wanavyopiga hela
Tuonyeshe ya kwako basiMbona Sio jumba la Kifahari? at least ingekuwa Bungalow la kishkaji.....
Wanapewa na mzee waoWatoto wa diamond wanapigane pesa mkuu ?
Hauwezi kumpata, wa kwangu yulenaam.,,mke wangu mtarajiwa huyo...akifika 18 nishtueni
Mbona Sio jumba la Kifahari? at least ingekuwa Bungalow la kishkaji.....
Huko youtube wanalipwa?? Yani wanapataje faida???Bingo kiingereza kinaturudisha nyuma... bongo movie hawana uwezo wa kupata viewers wengi youtube.. sababu wanaigiza kiswahili watu hawaelewi huko duniani...
Hata joti angekuwa anaigiza kiingereza ingekuwa balaa huko youtube
Uzarendo[emoji3][emoji3]umeongea jambo kubwa sana, hata kina sammo hung na jackie chan English imewasaidia sana ,ilibidi jackie chan akajifunze kiingereza ili kwenda international ,huku kwetu uzarendo unatukwamisha
Mkuu hivi ukiwa na subscribers wengi unalipwa??Nawakubali sana Mark Angel Comedy...na sishangai kwa emmanuela kuwa na mafanikio kiasi cha kumjengea mamake nyumba...mana hawa jamaa wana mashabiki wengi duniani na wanafutailiwa sana youtube na wanasubscribers wengi kuliko wasanii wengi wa muziki wa Nigeria...wanapata deal nyingi za matangazo na promotion, na live shows nchi mbali mbali....na kikubwa jamaa ni wabunifu mnooo..kila Ijumaa lazima niangalie episode mpya. Hawa jamaa uchale wao ni wa kiwango cha 4g
sio hivo tu mkuu, hata English uliyoandika hapa ina ukakasi[emoji23]
Yani mjuba ana miaka 30 analala sebuleni na kinge kaandika anachojua yeye
🤣🤣🤣🤣🤣usijinyonge tuu kwa presha tafadhaliMjuba ndo Kwanza niko na 30 yrs old ndo kwanza nalala Sebuleni, Everyone has its own pace
Mkuu hivi ukiwa na subscribers wengi unalipwa??
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Subscribers wanaifanya kazi yako iangalie mara nyingi na watu wengi ndani ya kipindi kifupi...hii inamaanisha kuwa channel yako ya youtube inafuatiliwa sana, kwa hiyo ni rahisi makampuni ya kibiashara kukupa deal za matangazo kwa ajili ya kupromote biashara zao..lakini pia youtube nao kupachika matangazo yao katika channel yako ambapo utalipwa pia na youtube.Mkuu hivi ukiwa na subscribers wengi unalipwa??
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app