Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,387
- 1,518
Miaka 10 anautajiri kiasi cha kujenga mjengo wa bei kali nasubiri Bongo Movie wa post ya kwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 10 anautajiri kiasi cha kujenga mjengo wa bei kali nasubiri Bongo Movie wa post ya kwao.
Mkuu..watoto wa Diamond wana vipaji gani?Sanaa inalipa sana..
Mtoto ukimtumia vizuri anajitafutia ada.. na wewe anakukomboa..
Tazama watoto wa diamond.. ama mai zumo na dogo sele wanavyopiga hela
Mkuu..watoto wa Diamond wana vipaji gani?
Sio kwamba wanatumia fame ya wazazi wao?maana binafsi sijaona vipaji vyeoNi socialist.. wanahusishwa na maisha ya kuuza sura na kuzingua.. makampuni yanawatumia kutangaza bidhaa zao... tifa ameshapata dili za pesa nyingi tu... na wazazi wao wajanja ndio maana wamewatengenezea page za social media huku wanawarekodi wakifanya vituko na kutumia hizo video kama content na kuingiza pesa... pesa aliyoingiza tifa katika endorsement zake ni zinatosha kabisa kumlipia ada bila mawazo...
Inaonekana huo uchekeshaji unalipa Sana huko Nigeria
Aisee yupo viZuri huyo binti..Hata bongo.. maisha ya joti, masanja, kingwendu, mpoki.. na madogo wapya kina dulvani.. ni mazuri kuliko wasomi wengi tu
Itabidi wapitie English course kuendana na utandawazi.Bingo kiingereza kinaturudisha nyuma... bongo movie hawana uwezo wa kupata viewers wengi youtube.. sababu wanaigiza kiswahili watu hawaelewi huko duniani...
Hata joti angekuwa anaigiza kiingereza ingekuwa balaa huko youtube
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Utatoboa Muhimu Oxygen Ipo Na Awamu Ya TanoMjuba ndo Kwanza niko na 30 yrs old ndo kwanza nalala Sebuleni, Everyone has its own pace
PhotogenicMkuu..watoto wa Diamond wana vipaji gani?
Ubunifu na kazi nzuri mara nyingi haviangalii lugha.Itabidi wapitie English course kuendana na utandawazi.
Mjuba ndo Kwanza niko na 30 yrs old ndo kwanza nalala Sebuleni, Everyone has its own pace
Bingo kiingereza kinaturudisha nyuma... bongo movie hawana uwezo wa kupata viewers wengi youtube.. sababu wanaigiza kiswahili watu hawaelewi huko duniani...
Hata joti angekuwa anaigiza kiingereza ingekuwa balaa huko youtube