Emmanuella ampa mama yake zawadi ya jumba la kifahari

Hata bongo.. maisha ya joti, masanja, kingwendu, mpoki.. na madogo wapya kina dulvani.. ni mazuri kuliko wasomi wengi tu
Kingwendu ana maisha gan mazuri mkuu?masanja isingekuwa kujiongeza kuingia kwenye kilimo asingetoboa..walau Joti.
 
Nawakubali sana Mark Angel Comedy...na sishangai kwa emmanuela kuwa na mafanikio kiasi cha kumjengea mamake nyumba...mana hawa jamaa wana mashabiki wengi duniani na wanafutailiwa sana youtube na wanasubscribers wengi kuliko wasanii wengi wa muziki wa Nigeria...wanapata deal nyingi za matangazo na promotion, na live shows nchi mbali mbali....na kikubwa jamaa ni wabunifu mnooo..kila Ijumaa lazima niangalie episode mpya. Hawa jamaa uchale wao ni wa kiwango cha 4g
 
Mbona Sio jumba la Kifahari? at least ingekuwa Bungalow la kishkaji.....
 
Bingo kiingereza kinaturudisha nyuma... bongo movie hawana uwezo wa kupata viewers wengi youtube.. sababu wanaigiza kiswahili watu hawaelewi huko duniani...

Hata joti angekuwa anaigiza kiingereza ingekuwa balaa huko youtube
Huko youtube wanalipwa?? Yani wanapataje faida???

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hivi ukiwa na subscribers wengi unalipwa??

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Yani mjuba ana miaka 30 analala sebuleni na kinge kaandika anachojua yeye

[emoji1787]imenikumbusha mwalimu fulani alimgonga fimbo jamaa yangu ,jamaa akalalamika anaonewa mwalima akajibu hata maisha yenyewe hayapo fair akazidi kumfua
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…