Mkuu kwanini aishie hapo kwani anasoma kuishia njiani, kwahiyo hao bodaboda au saidia fundi wanao weza kumudu maisha ya uraiani ndo wamefanikwa maisha? Nasie tuanza kufundiha watoto jinsi ya kuendesha abilia au jinsi ya kukoroga zege?Huyo mwenye 1 ukiwamwambia sasa ishia hapo ingia mtaani itumie hio 1 kusolve matatizo mtaani na kupataboesa ataweza?
Itachukua muda sana kujua kugundua kwamba mitihani hii ya Taifa ni big scam, nchi nyingi zisha shutuka zimeondoa zimechia swala la mitihani shule husika itunge kwa standard ilio wekwa na mamlaka.
Hizi one zina kuwa Fabrucated mno kwa sababu maalumu.
Wadau hamjamboni nyote?
Tutafute hela na muache wivuu
English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee
Mm huwa nawaza, EMS then Chuo kikuu nje...Au upambane na St. Kayumba then Chuo Kikuu unaingia ungaibuniWadau hamjamboni nyote?
Tutafute hela na muache wivuu
English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee
Kwaherini
Shule nyingi tu kila mwaka zinatoa one flat kuwavutia wazazi wajinga.Ndio ninacho sema ni itatuchukua muda sana kuja kugundua kwamba mitihani ya Taifa ni Scam kubwa sana na Fabrication za kutisha kutengeneza biashara.
Hizo one hutakaa uzisikie tena zilipo ishilia, hutakaa uzione zina translate mambo mtaani.
Kushindanisha wanafunzi ni model ya zamani saba nchi nyingi walisha achana na huo ujinga kitambo sana, Bongo still tunauabudu sana kwa nguvu zote
Kwa Sasa mfumo wa Elimu umebadilika serikalini hata huku kayumba kuna EMs. Hapa tofauti naiyona kwa mtoto huanzia nyumbani, kwenye malezi uhalisia unaonekana kwa Mzazi anayejua maana ya Elimu na anayefuata mkumbo. Huwezi igiza elimu. Unaweza igiza mpeleka mtoto EMs lakini ukakuta unamtesa maana kule anatutana na watoto wanaoishi kwenye uhalisia.Sasa mkuu uhalisia ni upi?
Kwani aliyesema FEZA ametoa ushahidi gani mkuuLete ushahidi Mkuu
KamwalaInaitwaje?
Ndugu yangu EMs ni kwa primary.Wadau hamjamboni nyote?
Tutafute hela na muache wivuu
English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee
Kwaherini
WamefaulishwaKuna shule za serikali zina one tu. Kuna kashule ka serikali kako upareni wana one 87 na two 3. Sijui utasemaje.
Hapo faida zote kwa CCM maana mwenye one akirudi street kutoka Chuo atakutana na mwenye zero biashara yake ya genge la matunda ishachanganya sasa anakusanya mtaji wa mobile moneyKupata one ndo kuwa Bora? Mimi naona kumuandaa mtoto kukabiliana na mazingira yanayomzunguka ndo Cha muhimu
Kamwala Secondary(boys), Majiran zao ni Dr Asha Rose Migiro(girls). Hizi shule ni za serikali zipo wilaya ya Mwanga huko Kilimanjaro.Zinakiwasha hatariiKuna shule za serikali zina one tu. Kuna kashule ka serikali kako upareni wana one 87 na two 3. Sijui utasemaje.
Wenzetu kwa mfano Finland hawana mamitihani ya hovyo. Na huwa hawana grades kwenye basic education. Mwanafunzi anafundishwa kuelewa na kuchambua mambo na sio kusoma kwa ajili ya mitihani. Pia wanatambua kwamba wanafunzi wana uelewa tofauti kwa hiyo huwezi kuwashindanisha kwa kuwapa mitihani sawa.Shule nyingi tu kila mwaka zinatoa one flat kuwavutia wazazi wajinga.
At the penalt hizo one hazina tija kwa taifa .
Ni kweliKamwala Secondary(boys), Majiran zao ni Dr Asha Rose Migiro(girls). Hizi shule ni za serikali zipo wilaya ya Mwanga huko Kilimanjaro.Zinakiwasha hatarii
Hapana, mbona nyingine wasifaulishwe?Wamefaulishwa
Kuna watu migodini wanakunja 10+ M per month,hili unaliongeleaje,maisha kila mtu ana namna alivyoandikiwaAda ya Feza day ni 7.5m boarding ni 15m imagine mtjmishi wa kawaida serikalini anae pokea sh 2m kama mshahara hawezi kumpeleka mtoto huko mfanya biashara mwenye mtaji chini ya 50m pia hawezi kosomesha uko, ni wakina Mwingulu Nchembe ndo wanao weza hiyo pesa.
Hao wa migodini hajui jmuhimu wa elimu akili zao ni kujenga majumba wanawake pombe na uchawi.Kuna watu migodini wanakunja 10+ M per month,hili unaliongeleaje,maisha kila mtu ana namna alivyoandikiwa
https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/csee/CSEE2024/CSEE2024/results/s2302.htm ngoja nimsaidie… ni shule inayochukua pure “ za wilaya na mtoto katikati akizingua anapelekwa shule nyingine na uniform wanamshoneaLete ushahidi Mkuu
Kwani katika hiyo wilaya kuna shule za namena hi ngapi? Utakuta kati ya wanafunzi 12000 wilaya nzima walio peform hivo ni 200 tu, hapo utasemaje mkuu.https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/csee/CSEE2024/CSEE2024/results/s2302.htm ngoja nimsaidie… ni shule inayochukua pure “ za wilaya na mtoto katikati akizingua anapelekwa shule nyingine na uniform wanamshonea
Hii shule noma sana ,tena nishule ya kata tuuKamwala