EMs ni shule bora wazazi tutafute hela! hebu cheki feza boys watoto 62 wa kiume wote wana wani

EMs ni shule bora wazazi tutafute hela! hebu cheki feza boys watoto 62 wa kiume wote wana wani

Huyo mwenye 1 ukiwamwambia sasa ishia hapo ingia mtaani itumie hio 1 kusolve matatizo mtaani na kupataboesa ataweza?

Itachukua muda sana kujua kugundua kwamba mitihani hii ya Taifa ni big scam, nchi nyingi zisha shutuka zimeondoa zimechia swala la mitihani shule husika itunge kwa standard ilio wekwa na mamlaka.

Hizi one zina kuwa Fabrucated mno kwa sababu maalumu.
Mkuu kwanini aishie hapo kwani anasoma kuishia njiani, kwahiyo hao bodaboda au saidia fundi wanao weza kumudu maisha ya uraiani ndo wamefanikwa maisha? Nasie tuanza kufundiha watoto jinsi ya kuendesha abilia au jinsi ya kukoroga zege?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Tutafute hela na muache wivuu

English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee

Wadau hamjamboni nyote?

Tutafute hela na muache wivuu

English medium ni shule bora kabisa na huwezi linganisha na hizo st kayumbee


Kwaherini
Mm huwa nawaza, EMS then Chuo kikuu nje...Au upambane na St. Kayumba then Chuo Kikuu unaingia ungaibuni
 
Ndio ninacho sema ni itatuchukua muda sana kuja kugundua kwamba mitihani ya Taifa ni Scam kubwa sana na Fabrication za kutisha kutengeneza biashara.

Hizo one hutakaa uzisikie tena zilipo ishilia, hutakaa uzione zina translate mambo mtaani.

Kushindanisha wanafunzi ni model ya zamani saba nchi nyingi walisha achana na huo ujinga kitambo sana, Bongo still tunauabudu sana kwa nguvu zote
Shule nyingi tu kila mwaka zinatoa one flat kuwavutia wazazi wajinga.
At the penalt hizo one hazina tija kwa taifa .
 
Sasa mkuu uhalisia ni upi?
Kwa Sasa mfumo wa Elimu umebadilika serikalini hata huku kayumba kuna EMs. Hapa tofauti naiyona kwa mtoto huanzia nyumbani, kwenye malezi uhalisia unaonekana kwa Mzazi anayejua maana ya Elimu na anayefuata mkumbo. Huwezi igiza elimu. Unaweza igiza mpeleka mtoto EMs lakini ukakuta unamtesa maana kule anatutana na watoto wanaoishi kwenye uhalisia.

Lingine Elimu ya Tanzania haijawa Purssuan Education System kwa huko wenzetu wapo level hiyoo kwa hiyo ndiyo maana unampeleka mtoto Fedha baadae unakuta anaenda UDSM. Anakutana na yule wa kayumba au Q. T

itoshe kusema kuwa Elimu ya Tanzania imefanyiwa mabadiliko ni swala la muda huu mfumo wa kuishia STD 6 Mtoto wa STD 3 Anaanza kusoma masomo ya form one. Tuwe wapole.
 
Vitu vya kawaida sana hivyo, Sasa hivi ulimwengu si kama ule tena. Kipindi hicho ukipata hata 1.15 watu wanakuamkia na unajulikana Hadi na wafanyakazi wa ofisi ya mkuu wa wilaya, siku hizi zimejaa kibao Wala siyo stori tena. Siku hizi Ili uonekana lazima ufanye kitu na kikawe na kuleta impact kwenye maisha yetu, aidha ni biashara nk.
 
Kupata one ndo kuwa Bora? Mimi naona kumuandaa mtoto kukabiliana na mazingira yanayomzunguka ndo Cha muhimu
Hapo faida zote kwa CCM maana mwenye one akirudi street kutoka Chuo atakutana na mwenye zero biashara yake ya genge la matunda ishachanganya sasa anakusanya mtaji wa mobile money
 
Kuna shule za serikali zina one tu. Kuna kashule ka serikali kako upareni wana one 87 na two 3. Sijui utasemaje.
Kamwala Secondary(boys), Majiran zao ni Dr Asha Rose Migiro(girls). Hizi shule ni za serikali zipo wilaya ya Mwanga huko Kilimanjaro.Zinakiwasha hatarii
 
Shule nyingi tu kila mwaka zinatoa one flat kuwavutia wazazi wajinga.
At the penalt hizo one hazina tija kwa taifa .
Wenzetu kwa mfano Finland hawana mamitihani ya hovyo. Na huwa hawana grades kwenye basic education. Mwanafunzi anafundishwa kuelewa na kuchambua mambo na sio kusoma kwa ajili ya mitihani. Pia wanatambua kwamba wanafunzi wana uelewa tofauti kwa hiyo huwezi kuwashindanisha kwa kuwapa mitihani sawa.
Huku kwetu mtu anapata division one lakini lakini baada ya mwezi , amesahau mengi aliyojifunza.
Pia hizi shule nyingi wanawafundisha wanafunzi jinsi ya ku solve past papers kitu ambacho kinawafanya wakariri vitu na si kuelewa. Wakifika vyuo wanapata tabu sana maana huko hakuna kutafuniwq ,unapambana na hali yako.
Kamwala Secondary(boys), Majiran zao ni Dr Asha Rose Migiro(girls). Hizi shule ni za serikali zipo wilaya ya Mwanga huko Kilimanjaro.Zinakiwasha hatarii
Ni kweli
 
Ada ya Feza day ni 7.5m boarding ni 15m imagine mtjmishi wa kawaida serikalini anae pokea sh 2m kama mshahara hawezi kumpeleka mtoto huko mfanya biashara mwenye mtaji chini ya 50m pia hawezi kosomesha uko, ni wakina Mwingulu Nchembe ndo wanao weza hiyo pesa.
Kuna watu migodini wanakunja 10+ M per month,hili unaliongeleaje,maisha kila mtu ana namna alivyoandikiwa
 
Back
Top Bottom