Mkuu kwanini aishie hapo kwani anasoma kuishia njiani, kwahiyo hao bodaboda au saidia fundi wanao weza kumudu maisha ya uraiani ndo wamefanikwa maisha? Nasie tuanza kufundiha watoto jinsi ya kuendesha abilia au jinsi ya kukoroga zege?Huyo mwenye 1 ukiwamwambia sasa ishia hapo ingia mtaani itumie hio 1 kusolve matatizo mtaani na kupataboesa ataweza?
Itachukua muda sana kujua kugundua kwamba mitihani hii ya Taifa ni big scam, nchi nyingi zisha shutuka zimeondoa zimechia swala la mitihani shule husika itunge kwa standard ilio wekwa na mamlaka.
Hizi one zina kuwa Fabrucated mno kwa sababu maalumu.