End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

Washindwe kufanyakazi wakazanie kusubiri mwisho wa dunia!!!!
 
Wanasema kuwa mwisho huo utakuja kwa dunia kugongana na 'sayari' nyingine !!!!
Hebu angalia picha hizi hapa.....
Hii wanasema itaokea tarehe 21st December 2012, saa tano na dakika 21 asubuhi !!!! (saa za wapi ????) Sijui !!!!


Nadhani GMT au British summer time? Unto glory of God goes we.
 
Haya Kwa sisi Wakina Mulugo 10 Malaika wa tatu akapiga baragumu, nyota kubwa ikaanguka kutoka mbinguni, iliyokuwa ikiwaka kama taa, ikaanguka juu ya theluthi ya mito, na juu ya chemchemi za maji.
11 Na jina lake ile nyota yaitwa Pakanga; theluthi ya maji ikawa pakanga, na wanadamu wengi wakafa kwa maji hayo, kwa kuwa yalitiwa uchungu.
12 Malaika wa nne akapiga baragumu, theluthi ya jua ikapigwa, na theluthi ya mwezi, na theluthi ya nyota, ili kwamba ile theluthi itiwe giza, mchana usiangaze theluthi yake, wala usiku vivyo hivyo.
13 Kisha nikaona, nikasikia tai mmoja akiruka katikati ya mbingu, akisema kwa sauti kuu, Ole, ole, ole wao wakaao juu ya nchi! Kwa sababu ya sauti zisaliazo za baragumu za malaika watatu, walio tayari kupiga.
 

Picha zaidi ....Dunia yetu 'itakapogongana' na sayari iitwayo Nibiru !!!!
 

Attachments

  • end of the world 02.jpg
    75.6 KB · Views: 907
ina maana obama ndio mwisho sasa du khaaa sasa hiyo miaka 4 yake itapotea bure ayaaaaaaa
 
Angali tu usije wachoma watu na utabiri wako wa kibwetere!
 

...na sisi kina Kihiyo imetusaidia
 
Hiyo siku nimeiweka katika calender yangu ili nipate reminder. Kuna hofu kubwa sana siku hizi kwamba itatokea Third World War au First Nuclear War. Ikitokea hiyo vita sijui nani atapigana dhidi ya nani? Sijui nani ni adui ya nani. Kwa sababu utaona kwamba matajiri wengi wa Duniani ni Wayahudi,and yet Wakomunisti wakubwa ni Wayahudi;Lenin,Stalin,Trotsky,na of course Karl Marx pia,wote walikuwa Wayahudi. Yametokea mapinduzi Russia,Trotsy alikuwa New York. Amevalia suti amekwenda Russia kuyaongoza. In fact,the 1905 and 1917 Russian Revoltions were financed by the jews from Wall Street.
Baadaye imetokea Bolshevik Revolution,wale Jews wametimuliwa,karibu wote wapo New York,na inalkuwa sasa kwamba the Russians want to take out New York,to put it into the water,kwa sababu maadui wao wote wapo kule. Siku hizi wana technology ya kuleta jurricanes na earthquakes. It is not a wonder kwamba jana Ban Ki Moon,na rafiki zake New York walikuwa na sala kuhusiana na hizi hurricanes.
 
Hiyo nyota imefika wapi sasa hv??au collision itatokea from no where??? aaah...sidhani kama ni kweli...
 
Tishio la Dunia ni ASTEROIDSna sio Planets nyingine, hata hivyo ma-Astronomers dunia nzima wako macho/makini na hatari hiyo, kila siku wanachunguza mwenendo ya Astreroids zote kwa kutumia darubini zao kali. Astreroids ambazo zinaonekana ni tishio au zinazo onekana zinaweza kuvutwa na earth's gravitational force muda si mrefu - wanajuwa jinsi ya ku-deal nazo kabla hazija fanya madhala yoyote duniani - moja ya mbinu za kuzisambaratisha ni kutumia Thermonuclear Bombs, wana intercept Astreroids zikiwa in outer space nakuzilipuliwa huko huko kama kuna tishio la kweli.

Kitu kingine: Kimo cha Asteroids ni kidogo sana, kwa hiyo uwezi kusema Astreroids ni PLANETS. Alafu katika watabili I tend kuamini utabili wa Michel Nostradamus kuliko wengine.
 
Wanasema kuwa mwisho huo utakuja kwa dunia kugongana na 'sayari' nyingine !!!!
Hebu angalia picha hizi hapa.....
Hii wanasema itaokea tarehe 21st December 2012, saa tano na dakika 21 asubuhi !!!! (saa za wapi ????) Sijui !!!!

Inawezekana ukawa ndio mwisho wa "ulimwengu wao. Unayakumbuka yale ya wasabato mwaka 1888? waliacha kila kitu na kukaa kuusubiri mwisho wa dunia matokeo yake ikawa ni njaa kuu katika ulimwengu wa wasabato....utabiri wa Jenna, unasema sehemu kubwa ya dunia itapigwa na ni sehemu ya ulaya ndio maana wazungu wanatakiwa kukimbilia Afrika kwa muda......anyway nilikuwanapita tu nikaiona hii.
 

Na huo mwisho usipotokea hiyo 21/12/2012..., siku inayofuata 22/12/2012 utatueleza jingine ukirejea tena maandiko au..?!
 
sasa wale jamaa wa CCM walioweka mabilioni uswisi hela zao zitakuwa transfered huko HELL..au...
 

Mkuu sasa kama Stalin na Trotsky walikuwa na asili ya Uyahudi kwa nini walikuwa maadui kweli kweli, mpaka Trotsky kufikia hatua ya kukimbilia uhamishoni nchini MEXICO!!

Hakuishia hapo, Stalin kumtumia wauaji Trotsky wakamuua kikatili kwa kutumia kijishoka cha kupandia milima ya barafu, siasa mchezo mchafu SANA!!

Kitu kingine hakuna technology ya kuleta Hurricanes duniani, mvua kweli unaweza kutumia Sodium Iodide au Dry ICE (solid carbon dioxide) ukatumia ndege au Rocket kunyunyizia kwenye mawingu; unaweza vile vile kusababisha earthquake (au tuite shockwave) ukiwa na uwezo wa kulipua chini ya aridhi Hydrogen Bomb lenye uwezo wa ku-yeild 200MT equivalent za TNT, ila sijuhi ita-register kiwango gani kwenye Richter au Kanamori Scale.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…