Athee mi ndio najiandaa apa chalii angu. Napitia pale thame then naenda kule juu vudee au ntahamia kula mamba myamba kwenye kiwanda cha Tangawizi nkale tangawizi kwanza kabla mwisho wa dunia aujafika
Mmh hakuna kitu kama hicho?Umesahau tuliambaiwa kuwa hata mwaka 2000 ndio mwisho wa dunia?
kesheni mkiomba kwani hamjua siku wala saa !
Avae, uthithahau kumthalimia mthee Mtengeti. Mwambie kisma kinakuja avae, akae chonjo.
Athee thawa bwana avae, nitawathalimia wote pere manake naenda kula nao mapere na mapure makande. Na mzee nthakurwe ,kiondo,elinazi,elinithafi,eliethikia,elitumaini na wengine vothe.
Tutakutana kunywa boha karibu avae
NASA gani walisema hivyo??? Weka link... Ninavyojua nasa walisema kuwa ni
hoax.
kuna mtu hapo anasema sisi waafrika tunajitisha wajinga ndio tunafikiria mwisho wa dunia ,
ufaransa kuna mlima unaitwa bugarach watu wamejaa huko wakiamini ndio sehemu pekee ambayo haitakubwa na mabalaa ya mwezi huu tarehe 21, ambao wanaamini ndio mwisho. wamekwenda huko toka mwezi uanze na wameweka kambi wakisubiri huo mwisho.
habari ndio hiyo.
na serikali za mitaa za maeneo hayo imeshatangaza kuwa hawataruhusu watu wasio wa sehemu hizo kwenda hapo na kujaza sehemu hiyo ila wazawa wa sehemu hiyo to.
Athee mi ndio najiandaa apa chalii angu. Napitia pale thame then naenda kule juu vudee au ntahamia kula mamba myamba kwenye kiwanda cha Tangawizi nkale tangawizi kwanza kabla mwisho wa dunia aujafika
Boha na dengeruwa. Aithee wacha tu.
nahavache,mia nlitaka niishie hapo kihurio lakini nathikia bado ni chini thana,likianguka ntakuwa thamaki!
Kwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec.
Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli?
Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.
nahavache,mia nlitaka niishie hapo kihurio lakini nathikia bado ni chini thana,likianguka ntakuwa thamaki!
kwi kwi kwii!nyie watu mnaniacha hoi!
Kwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec.
Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli?
Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.
Ho!ho!ho!kumbe nawe ni mdau mwenzangu juu ya kitu Hale?Mazee,
2012 si kesho kutwa tu. Duh yaani itafika hata kabla sijafika ndani ya 18 ya Halle Berry? Maana niko kwenye waiting list yake. Na sasa hivi inavyoonekana niko scheduled kwa 2014. Acha utani bana..lol
Unajua haya mambo ya utabiri wa mwisho ya dunia tushayasikia sana. Binafsi, imefika kipindi naamini kuwa siku nitakayo kufa ndio itakuwa mwisho wangu wa Dunia. Kila mtu taa yake ya Dunia inazima pale akufapo.
kwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa nostradamus na hata wa watu wa mayan kule south america wanasema dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 dec.
Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka history channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya nostradamus na mayan wameshindwa kung'amua ukweli?
Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.
updates:
december 03, 2012:
the world will not end in 2012 - nasa
Kwani kuna anayedhani ataishi milele!??? come the day, we are doomed to die one way or the other!
Zimebakia siku 2, na ela ya kwenda France kwenye vile vilima sina....