End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

Athee mi ndio najiandaa apa chalii angu. Napitia pale thame then naenda kule juu vudee au ntahamia kula mamba myamba kwenye kiwanda cha Tangawizi nkale tangawizi kwanza kabla mwisho wa dunia aujafika

Avae, uthithahau kumthalimia mthee Mtengeti. Mwambie kisma kinakuja avae, akae chonjo.
 
Avae, uthithahau kumthalimia mthee Mtengeti. Mwambie kisma kinakuja avae, akae chonjo.

Athee thawa bwana avae, nitawathalimia wote pere manake naenda kula nao mapere na mapure makande. Na mzee nthakurwe ,kiondo,elinazi,elinithafi,eliethikia,elitumaini na wengine vothe.
Tutakutana kunywa boha karibu avae
 
Boha na dengeruwa. Aithee wacha tu.
 
NASA gani walisema hivyo??? Weka link... Ninavyojua nasa walisema kuwa ni
hoax.

.sante St Ivuga. Bila shaka Itakuwa ni NASA ya Magomeni Mapipa. Maneno ya namna hii yakipata Washereheshaji ndio inakuwa Tabu. Nilidhani sisi wa JF ndio tungekuwa mstari wa mbele kuwaelimisha ndugu zetu kutokuwa na Wasiwasi na 'Hadithi Njoo' hii lakini kama sisi wenyewe na Nyenzo zetu za kuweza kuthibitisha U-Hoax wa jambo hili ndio tunaanza kutetemeka, Itakuwaje huko barabarani na vijijini kwa ndugu zetu wasiokuwa na nyenzo (TV, Internet nk) za kuweka kupata taarifa kamili za Uongo huo???:confused2:

kuna mtu hapo anasema sisi waafrika tunajitisha wajinga ndio tunafikiria mwisho wa dunia ,
ufaransa kuna mlima unaitwa bugarach watu wamejaa huko wakiamini ndio sehemu pekee ambayo haitakubwa na mabalaa ya mwezi huu tarehe 21, ambao wanaamini ndio mwisho. wamekwenda huko toka mwezi uanze na wameweka kambi wakisubiri huo mwisho.
habari ndio hiyo.
na serikali za mitaa za maeneo hayo imeshatangaza kuwa hawataruhusu watu wasio wa sehemu hizo kwenda hapo na kujaza sehemu hiyo ila wazawa wa sehemu hiyo to.

Iron Lady, Kwani unadhani huko Ufaransa, Marekani, Uingereza na Kwingineko Ulaya hakuna Mazumbukuku yanayoweza luamini chochote hata kama ni Hoax?? Unadhani sifa ya Uzumbukuku tunayo cc tu??
 
Athee mi ndio najiandaa apa chalii angu. Napitia pale thame then naenda kule juu vudee au ntahamia kula mamba myamba kwenye kiwanda cha Tangawizi nkale tangawizi kwanza kabla mwisho wa dunia aujafika

nahavache,mia nlitaka niishie hapo kihurio lakini nathikia bado ni chini thana,likianguka ntakuwa thamaki!
 
nahavache,mia nlitaka niishie hapo kihurio lakini nathikia bado ni chini thana,likianguka ntakuwa thamaki!

Avae, ukiishia Kihurio utageuka thamaki avae.Thithi tumekimbilia juu kabitha ya milima. Huko maji hayafiki. Lakini wewe ukigeuka thamaki tutakuchora ukutani kisha tutakuwa kila tukiangalia picha yako thaa ya chakula matonge ya ugali yatatelezea yenyewe kooni. Avae uthikubali kuithia chini, kiama thi mchezo kimbilia milimani.
 
Kwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec.

Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli?

Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.

Tazama siku hiyo yaja..hakuna aijuaye, hata malaika!..ila baba peke yake
 
nahavache,mia nlitaka niishie hapo kihurio lakini nathikia bado ni chini thana,likianguka ntakuwa thamaki!

Thatha wewe unakuwa na akili fupi kama ntarishwa? Ihurio thi ni hapo bondeni jamaa yangu. Chukua bathi la thafanana au hayo hapo yanayoenda bwambo au mamba kwenye watu wafupi. Huko huwezi kuwa thamaki .njoo tule miwa na dengerua thea
 
Kwani kuna anayedhani ataishi milele!??? come the day, we are doomed to die one way or the other!
 
Thanks God ile siku tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu imefika,siku ya kila mtu kulipwa ujira wake kutokana na matendo yake,waliotenda mema kwa uzima wa milele,waliotenda mabaya kwa aibu ya milele,siku ya mwisho ya udhalimu na watenda mabaya wote,Tunaisubiri kwa hamu sana
Kwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec.

Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli?

Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.
 
Mazee,

2012 si kesho kutwa tu. Duh yaani itafika hata kabla sijafika ndani ya 18 ya Halle Berry? Maana niko kwenye waiting list yake. Na sasa hivi inavyoonekana niko scheduled kwa 2014. Acha utani bana..lol

Unajua haya mambo ya utabiri wa mwisho ya dunia tushayasikia sana. Binafsi, imefika kipindi naamini kuwa siku nitakayo kufa ndio itakuwa mwisho wangu wa Dunia. Kila mtu taa yake ya Dunia inazima pale akufapo.
Ho!ho!ho!kumbe nawe ni mdau mwenzangu juu ya kitu Hale?
 
Hizo ni rumas tu mwisho dunia bado haujatmbulika...na hakuna anyefahamu mwisho wa dunia..sababu hata ukisoma katika Biblia..hata Yesu mwenyewe hatambui mwisho wa dunia ni lini anayejua mwisho wa dunia ni MUNGU peke yake...
 
kwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa nostradamus na hata wa watu wa mayan kule south america wanasema dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 dec.

Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka history channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya nostradamus na mayan wameshindwa kung'amua ukweli?

Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.

updates:

december 03, 2012:

the world will not end in 2012 - nasa

mbona kiama kilishaanza afrika zamani kinaendelea tu labda sasa kinaelekea mabara mengine na huko marekani kitaanza disemba

hivi hili rumba la maisha magumu na corruption ni kiama kidogo???

Watu wamefika kuuza ngozi na viungo vya albino --kiama kidogo hicho ??
 
Kwani kuna anayedhani ataishi milele!??? come the day, we are doomed to die one way or the other!

Zimebakia siku 2, na ela ya kwenda France kwenye vile vilima sina....
 
Back
Top Bottom