Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa waislam tumeaminishwa kuwa, dalili za kwisha kwa dunia ni pamija na kurudi kwa Nabii Issa aleyhi salaam, au Yesu/Jesus. Atakaporudi duniani ataishi kwa takriban miaka 45. Ataoa na atazaa watoto halafu atakufa kama binadamu wengine. Sasa kwa mujibu wa dini yetu nikianza kuhesabu kuanzia sasa mpaka 2032 ni takriban miaka 14 na nne tu imesalia. Labda viongozi wa dini watuambie je, Nabii Issa alisharudi tayari na je yupo nchi gani? Na je alishaoa na ana watoto wangapi mpaka sasa.
Vinginevyo tutasubiri sana!!
Mleta Uzi: Join Date : 14th January 2014 - Unatafuta kutukanwa wewe subiri waje wenyewe!
Wewe naye hovyoooo. Sijui watu wengine mkoje kila siku join date ili? wewe changia alicholeta hutaki tambaa.
Usione mtu kajiunga karibuni ukamuona kuwa ndio mgeni. Mfano mimi baada ya kupoteza password imenibidi nikae kwanza nije nijiunge tena kwa jina lingine.
Mwanzo nilikuwepo toka 2011. Nikajiunga tena mwaka huu sasa muache hizo tabia na kujifanya JF ina wenyewe. Nyie wenye tabia hizo mnaboa.
waislamu wanaamini hili???Kwa waislam tumeaminishwa kuwa, dalili za kwisha kwa dunia ni pamija na kurudi kwa Nabii Issa aleyhi salaam, au Yesu/Jesus. Atakaporudi duniani ataishi kwa takriban miaka 45. Ataoa na atazaa watoto halafu atakufa kama binadamu wengine. Sasa kwa mujibu wa dini yetu nikianza kuhesabu kuanzia sasa mpaka 2032 ni takriban miaka 14 na nne tu imesalia. Labda viongozi wa dini watuambie je, Nabii Issa alisharudi tayari na je yupo nchi gani? Na je alishaoa na ana watoto wangapi mpaka sasa.
Vinginevyo tutasubiri sana!!
Usituletee habari za uchuro hapa, hiyo habari kama ilivyo na picha kama zilivyo na ikiizungumzia sayari iyo hiyo (nibiru) ilitoka mwaka 2012 huku wakitabiri kuwa mwisho wa dunia ungekuwa tar 21-12-2012.
Hao wazushi na walisema eti mwisho wa dunia ingekua hivi;
http://m.youtube.com/watch?v=m-ZG2nyUXiY&client=mv-google&hl=en&guid=&gl=US
YESU ataoa? haahahaha, nyie kweli mmeishiwa!!!! yani mnawaza ngono tu...ndo mana mnaaminishwa kuwa kule peponi kutakuwa na vigoli (visichana vizuri) kibao!!!