Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
sijakuelewa nini maana ya ufufuo wa 1 na pili?
Soma ufunuo wa yohana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijakuelewa nini maana ya ufufuo wa 1 na pili?
na kutakuwa na mito ya ulevi kwa wanywao.chezea (ISILAM)
mada za kijinga
Hakuana ajuaye siku wala saa,mtoa mada nishakuona una'promote blog tu hapa
Kuna watu huwa wanakurupuka tu mkuu...wasamehe tu!!!
Kwa nini unasema HAUPO wakati kuna billions of moving bodies out there, na kuna evidence kwamba kuna unearthly bodies zilizowahi kuigonga dunia na kusababisha maafa makubwa, achilia mbali miripuko ya hatari which wiped out entire civilization! Anything can happen at any time, its just hard to predict exactly when!
Wanao tabiri mwisho wa Dunia wote ni wapinzani wa Mungu. ushauli wangu. ki Dunia: ishi kamakwamba Yesu atarudi baada ya miaka 1,000. ki Roho ishi kamakwamba Yesu anarudi na atafika baada ya saa moja ijayo

Nawapenda sana NASA...wanajua kurusha wajinga roho,na bila shaka ndo hao waliotoa huo utabiri,safi sana NASA
Dunia imekuwapo kwa zaidi ya miaka bilioni 15 hivo uwezekano wa kupuputika kwenye kipindi cha miaka mia au elfu ijayo ni mdogo mno. Dont worry be happy . Wine dine be merry. Tumbua fedha chafu baba. Nani kamwaga pombe yangu nauliza?
Mkuu tatizo ni kwamba tunalijadili suala hili katika mitazamo miwili tofauti, mimi nipo na ntaendelea kuwa kibiblia zaidi hususan kuhusu mambo ya mwisho wa dunia kwa sababu hadi sasa hivi, angalau Biblia imetoa maelezo ya wapi tumetoka, wapi tupo na tunaelekea wapi.
Wewe unaliangalia hili suala kisayansi ambalo ni jambo zuri. Nadhani utanielewa kwamba tatizo ni mitazamo, na kwa maana hiyo Biblia haijawahi kuuelezea mwisho wa dunia kuwa utatokea kwa kugongwa na kitu. Japo kitabu cha Daniel kwenye Biblia kimeongelea ndoto ya sanamu ya mfalme Nebukadreza kwamba iliharibiwa na jiwe ambalo halikufanywa kwa kazi za mikono.
Ameongelea tafsiri ya hilo jiwe kuwa ni ufalme wa Yesu Kristo utakaokuja kuharibu na kukomesha utawala wa sasa, na hapo ndio utakua mwanzo wa ufalme usio na mwisho wa milele na milele.
Daniel 2:34
"..Nawe ukatazama hata jiwe likachongwa bila kazi ya mikono, nalo jiwe hilo likaipiga sanamu miguu yake, iliyokuwa ya chuma na udongo, likaivunja vipande vipande.."
Tafsiri
Daniel 2:44-45
"..Na katika siku za wafalme hao Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hawataachiwa enzi yake; bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuziharibu, nao utasimama milele na milele.
Na kama vile ulivyoona ya kuwa jiwe lilichongwa mlimani bila kazi ya mikono, na ya kuwa lilivunja-vunja kile chuma, na ile shaba na ule udongo, na ile fedha, na ile dhahabu; basi Mungu aliye mkuu amemjulisha mfalme mambo yatakayokuwa baadaye; na ndoto hii ni ya hakika, na tafsiri yake ni thabiti.."
Mara nyingi wana sayansi wamesema kuna kitu kitagonga dunia, lakini sio mara zote imetokea. Ndio maana nasema hata hii habari ya wanasayansi sio ya kuaminika 100%
Yaan ww ni mbulula kbs wa mambulula mwisho wako ni pumz ukifa ndo mwisho wako ww, dunia iko na itaendaelea kuwe. Kumbuka ukijua duni itaondoka ikiwa ya mwisho kbs
Atarudi baada ya 1000 mbona tuko 2014?
Mkuu tatizo ni kwamba tunalijadili suala hili katika mitazamo miwili tofauti, mimi nipo na ntaendelea kuwa kibiblia zaidi hususan kuhusu mambo ya mwisho wa dunia kwa sababu hadi sasa hivi, angalau Biblia imetoa maelezo ya wapi tumetoka, wapi tupo na tunaelekea wapi.
Wewe unaliangalia hili suala kisayansi ambalo ni jambo zuri. Nadhani utanielewa kwamba tatizo ni mitazamo, na kwa maana hiyo Biblia haijawahi kuuelezea mwisho wa dunia kuwa utatokea kwa kugongwa na kitu. Japo kitabu cha Daniel kwenye Biblia kimeongelea ndoto ya sanamu ya mfalme Nebukadreza kwamba iliharibiwa na jiwe ambalo halikufanywa kwa kazi za mikono.
Ameongelea tafsiri ya hilo jiwe kuwa ni ufalme wa Yesu Kristo utakaokuja kuharibu na kukomesha utawala wa sasa, na hapo ndio utakua mwanzo wa ufalme usio na mwisho wa milele na milele.
Daniel 2:34
"..Nawe ukatazama hata jiwe likachongwa bila kazi ya mikono, nalo jiwe hilo likaipiga sanamu miguu yake, iliyokuwa ya chuma na udongo, likaivunja vipande vipande.."
Tafsiri
Daniel 2:44-45
"..Na katika siku za wafalme hao Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hawataachiwa enzi yake; bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuziharibu, nao utasimama milele na milele.
Na kama vile ulivyoona ya kuwa jiwe lilichongwa mlimani bila kazi ya mikono, na ya kuwa lilivunja-vunja kile chuma, na ile shaba na ule udongo, na ile fedha, na ile dhahabu; basi Mungu aliye mkuu amemjulisha mfalme mambo yatakayokuwa baadaye; na ndoto hii ni ya hakika, na tafsiri yake ni thabiti.."
Mara nyingi wana sayansi wamesema kuna kitu kitagonga dunia, lakini sio mara zote imetokea. Ndio maana nasema hata hii habari ya wanasayansi sio ya kuaminika 100%
mwisho upo
Mkuu siku zote wanasayansi hutoa mambo Yao ambayo tayari ktk maandiko yamo! Kwa Hii Habari ni kwamba wanajaribu kulinganisha neno la Mungu na mambo Yao!
Mfano hiyo Daniel inazungumza kua ni jiwe ambalo lilikuja kuipiga ile sanamu na ikasagika vibaya na lile jiwe likawa Mwamba mkubwa! Hapa maana yake ni tawala zilizopo duniani zote zitavunjwa na kuweka utawala Wa Mungu ambalo ndio Hilo Jiwe kua Mwamba!
Sasa Hawa wanasayansi wanatuambia Sayari itakuja kuigonga Dunia na kuisababishia Dunia shida kubwa! Hizi Habari zao zimekuweko siku nyingi na hayatokei! Mi Niseme tu Hawa wanasayansi ktk mambo Yao siku hizi wameanza kuona Giza!