chamtemamoto
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 796
- 215
wewe umesema!kwahiyo mtu mkristo akiwa mchawi si mkristo tena bali ni muislam?
kati ya mimi na wewe ni nani anayeikashfu dini ya kiislam hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe umesema!kwahiyo mtu mkristo akiwa mchawi si mkristo tena bali ni muislam?
Umenichekesha, una maana hakuna wakristo wachawi kwa akili yako? Hujui ulitendalo pole sala.
Kila mtu ananena kwa Kadri ya ujinga wake, ukikua na utaielewa dunia na utaacha ujinga unaokusumbua, tunayajua Makanisa na Misikitini. Tuna wafahamu Wachungaji, Mapadre na Masheikh tunayajua na tunawajua waumini wote kwa kila kipimo.
Acha kukashifu dini na Imani za wenzako, hakuna binadamu mtimilifu bali Mungu. Sisi tuna wafahamu walokole ambao wakisali mapepo yanatetemeka na kukimbia lakini baada ya sala wanatuletea .... zao tuzishughulikie. Huo ni mfano mmoja tu! Lakini tuna wafahamu masister ambao wanakula ....... kuliko hata MaCD wa mjini. Jifunze uielewe Dunia kwanza.
Huo udini ulio nao ni kipimo cha ujinga uliona.
Mmh hakuna kitu kama hicho?Umesahau tuliambaiwa kuwa hata mwaka 2000 ndio mwisho wa dunia?