Yes Yes Yo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 232
- 99
Ufufuo wa kwanza ni Pale Yesu alipo kufa msalabani, kuna watakatifu walio palizwa pinguni.
sijakuelewa nini maana ya ufufuo wa 1 na pili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijakuelewa nini maana ya ufufuo wa 1 na pili?
Waliowaaminisha hivyo wamewadanganya saaana,YESU ninaemjua mimi siku akirudi duniani tu,
anakuja kwa hukumu,hakuna kuoa wala kuzaa,achaneni na mafundisho ya ajabu ni heri njoo mpokee
YESU awe BWANA na Mwokozi wa maisha yako leo'
Kuna kitabu nilisome kilizungumzia kuanguka kwa nyota toka angani, na mito kujaa damu, tafsiri yake ni kuwepo kwa vita kubwa ya mwisho ambayo muamuzi wake mkuu atakua Yesu Kristo, nyota haziwezi kuanguka duniani, kwani ukubwa wa nyota moja unaweza kua mara kumi ya sayari yetu ya dunia, hivyo tafsiri ya nyota kuanguka ni mabomu yatakayokua yakirushwa toka pande moja mpaka nyingine, kutokana na wingi wake utakua kama maanguko ya nyota, kuna kila dalili za kuelekea huko kwenye vita kuu lakini bado kufikia huko
Sijaelewa hata unamaanisha nini!!! kwamba tuwaulize hao pichani!!!!!!!?? basi chukua hii itakusadia"HAKUNA AJUAE SIKU WALA SAA MBALI NA NAFSI YA MUNGU BABA"MWISHO WA DUNIA WATAJWA
WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet, sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.
ITAONEKANA ANGANI KAMA MWEZI
Kwa mujibu wa mitandao hiyo ya kisayansi, sayari hiyo ambayo inaisogelea dunia kwa kasi kubwa, itaonekana kubwa na angavu wakati wa usiku angani na kuwa katika umbo la mwezi na hivyo kufanya miezi ionekane miwili...read more at
Sio kuoa tu na kuzaa watoto kafiri we
Kuna kitabu nilisome kilizungumzia kuanguka kwa nyota toka angani, na mito kujaa damu, tafsiri yake ni kuwepo kwa vita kubwa ya mwisho ambayo muamuzi wake mkuu atakua Yesu Kristo, nyota haziwezi kuanguka duniani, kwani ukubwa wa nyota moja unaweza kua mara kumi ya sayari yetu ya dunia, hivyo tafsiri ya nyota kuanguka ni mabomu yatakayokua yakirushwa toka pande moja mpaka nyingine, kutokana na wingi wake utakua kama maanguko ya nyota, kuna kila dalili za kuelekea huko kwenye vita kuu lakini bado kufikia huko
Hayo mapigo maandiko yanazungumza! Labda ungenipa hayo mafungu tena!
Mkuu huu unabii Wa kuanguka kwa nyota tayari umeshatokea Mwaka 1833 November 13 huko America!
Sasa hapo ndio tuangalie neno la Mungu linasema nyota zitaanguka na wewe unasema kua hicho kitabu kinasema nyota ni kubwa kuliko sayari yetu Dunia Kwahiyo kuangukia Dunia ni Ngumu! Niseme tu kwamba Km Mwenye kuamini maandiko na ayaamini na Mwenye kuamini sayansi na afanye hivyo!
Unaweza pia ukagoogle kuanguka kwa nyota, utapa history kidogo!
Kuna kitabu nilisome kilizungumzia kuanguka kwa nyota toka angani, na mito kujaa damu, tafsiri yake ni kuwepo kwa vita kubwa ya mwisho ambayo muamuzi wake mkuu atakua Yesu Kristo, nyota haziwezi kuanguka duniani, kwani ukubwa wa nyota moja unaweza kua mara kumi ya sayari yetu ya dunia, hivyo tafsiri ya nyota kuanguka ni mabomu yatakayokua yakirushwa toka pande moja mpaka nyingine, kutokana na wingi wake utakua kama maanguko ya nyota, kuna kila dalili za kuelekea huko kwenye vita kuu lakini bado kufikia huko
mkuu naomba pitia ufunuo sura ya 7 na 8 kwa ujumla(aya zote) halafu naomba maoni yako hasa sura ya 8 uniambie umeelewaje.
mkuu kam ani mfuatiliaji mzuri wa maswala ya ki dini utaelewa kwamba vitabu vya dini ni mara chache sana vimekua vikimaanisha uhalisia wa jambo katika hadithi zake, kwani unaweza kuta jambo flani likimaanisha jingine, na jambo flani kubeba picha ya jambo jingine , hivyo basi kuja na conclusion kwamba nyota zilizomaanishwa katika vitabu hivyo ndio zenyewe zitaiangukia dunia basi si sahihi, kwa mfano, nyota iliyo karibu kabisa ya dunia ipo umbali wa miaka 4.5 ya mwanga (hii ni safari ya mwanga toka ilipo hiyo nyota mpaka kufikia dunia, wewe mtazamaji wa hiyo nyota, kasi ya mwanga ni kilometa 300,000 kwa sekunde) mfano wa nyota maarufu kabisa katika galaxy yetu ni Eta Carinae, nyota hii ipo umbali wa miaka 7.5 ya mwanga toka duniani na inasemekana kwamba nyota hii ina ukubwa mara 250 zaidi ya dunia, na kwa nyota kubwa zaidi zina ukubwa mara 920 -1200 zaidi ya dunia, hivyo basi kulinganisha maandiko na uhalisia katika jambo hili si sahihi na ni kupingana na uhalisia wenyewe, haiwezekani kwa nyota yenye ukubwa mara 250 kuiangukia dunia na bado ikawepo kwa nyingine zaidi kuiangukia.
Kipindi ambacho mpewa maono alikuwepo kunaweza kua na tafsiri tofauti na nyakati za sasa, kuna uwezekano mkubwa kwamba mpewa maono aliona vitu vyenye miali mikali vikiiangukia dunia lakini akaamua kutafsiri kama nyota ili kukupa picha wewe, lakini katika uhalisia havikua nyota.
Ila kuna uwezekano mkubwa kama angekuwepo mtu toka kizazi hiki akaoneshwa tena maono hayo hayo akaja na tafsiri mpya ya hayo maono na tungekua na simulizi nyingine kwamba hizo hazikua nyota bali mabomu na yangekua ya aina gani...au kama si mabomu basi ni nini kingeipiga dunia na kuiangamiza katika hali ile..
Mkuu Stroke Nashukuru sn kwa maelezo yako mazuri!
Unajua Mimi nazungumzia haya mambo kiimani na ninakubaliana na hoja zako kua wakati mwingine ujumbe Wa Mungu ulifasiriwa kwa wakati ule!
Nashukuru sn kwa maelezo yako mazuri Mkuu!
Asante!
Dunia imekuwapo kwa zaidi ya miaka bilioni 15 hivo uwezekano wa kupuputika kwenye kipindi cha miaka mia au elfu ijayo ni mdogo mno. Dont worry be happy . Wine dine be merry. Tumbua fedha chafu baba. Nani kamwaga pombe yangu nauliza?
mkuu naomba pitia ufunuo sura ya 7 na 8 kwa ujumla(aya zote) halafu naomba maoni yako hasa sura ya 8 uniambie umeelewaje.
Mwsh wa dunia ni kufa kwako.
Ful stop
mie nadhani hayo majani ni majani halisi.Nafahamu kuwa unabii huwa una viwakilishi lakini pia nikujuze mkuu kuwa kuna wakati unabii unasimama na literal meaning yake na pia kuna wakati unazungumza both kiuwakilishi na kiuhalisia(two fold kama unabii wa chukizo la uharibifu wenye maana halisi ya taifa la Israel kuvamiwa na Warumi na maana ya kinabii ya kanisa la Mungu kuvamiwa na roho ya mpinga kristo kwa pamoja) Kuhusu malaika,hawa ni wajumbe wa Mungu ktk hali zote,mazuri na mabaya kwa maana kwamba hata anapoleta balaa kama lile la Sodoma anatumia malaika.Hata hapa tulipo malaika wapo wanafanya kazi zao ndio maana tunaishi otherwise Hallel angekuwa katumaliza kabisa.Nadhani mkuu unafahamu kuna malaika wanailinda dunia hii dhidi ya uovu lakini hatuwaoni.Hivyo hata suala la hao wa revelation 8 ni hivyo hivyo,watu hawataona malaika,watashuhudia physical disasters toka mikononi mwa malaika hao waliotumwa na Mwenyezi Mungu kuiadhibu dunia kwa mapigo(deluge).Mtu wa kawaida hataelewa kinachoendelea lakini mwenye ufahamu wa Mungu kupitia neno lake atazisoma nyakati na kujua wale malaika wameanza kazi.Mkuu nimesoma hiyo 7 na 8.
Kabla sijatoa maelezo nilipenda kukuuliza swali. Kuna maneno yametajwa Km Miti na nyasi za kijani! Haya maneno yanawakilisha nini?
Hizo sura ulizonipa kuna mambo hayajatokea hao malaika 7 Wameenda mpk sura ya 9,10,11,12! Kwa Mfano malaika Wa 5 ktk ufunuo 9, anachokizungumza tayari kimeshatokea!
Kwahiyo ukichukua sura ya 7 mpk 12 kuna mambo yameshatokea na mengine bado! Na pia kitu Kikubwa hapa ni kuangalia lugha inayotumika ktk huu unabii au maandiko! Kwasababu wanazungumzwa malaika 7. Je ni kweli malaika Saba wataruka ktk nchi na kufanya hivyo?
Kwahiyo kuna mambo mengi ya kuangalia hapa ktk unabii Hasa viwakilishi vilivyotumika!
Thx!