ujajibu maswali yaliyotokana na ujinga wako unakimbilia wapi?
Kila mtu ananena kwa Kadri ya ujinga wake, ukikua na utaielewa dunia na utaacha ujinga unaokusumbua, tunayajua Makanisa na Misikitini. Tuna wafahamu Wachungaji, Mapadre na Masheikh tunayajua na tunawajua waumini wote kwa kila kipimo.
Acha kukashifu dini na Imani za wenzako, hakuna binadamu mtimilifu bali Mungu. Sisi tuna wafahamu walokole ambao wakisali mapepo yanatetemeka na kukimbia lakini baada ya sala wanatuletea .... zao tuzishughulikie. Huo ni mfano mmoja tu! Lakini tuna wafahamu masister ambao wanakula ....... kuliko hata MaCD wa mjini. Jifunze uielewe Dunia kwanza.
Huo udini ulio nao ni kipimo cha ujinga uliona.
KWELI UMENENA KWA KADRI YA UJINGA WAKO!.
SHIDA IKO WAPI?
wewe umesema, Kwahiyo mtu Mkristo akiwa mchawi si Mkristo tena bali ni Muislam?
MIMI NIKAKUJIBU wewe umesema! Sasa povu la nini?.
Kwa maelezo yako kumbe wewe ni mchawi!
Kumbe wewe ni mjinga na haujakuwa, subiri ukishakuwa ndio uje uongee!
Sasa unaongeleaje mambo usiyoyajua?
Kama huna udini nini kinachokuwasha?
Wewe ndio sio mtimilifu, mimi ni mtimilifu,
anza wewe kuacha kukashifu dini za wengine ndio uje kuniambia mimi!
Labda unawajua masheikh,
wachungaji uwajui, mapadri uwajui!
Na kama (unajua) nipe vigezo vya maandiko vya mtu kuwa padri au mchungaji.
Na hao masister unaowajua watakuwa ni dada zako acha tabia ya kutembea na dada zako, hiyo ndiyo maana ya kuwajua.
Na walokole ni akina nani?
Nipe andiko linalowatambua walokole ndani ya biblia ili tujuwe kati ya mimi na wewe ni nani mjinga!
NA MWISHO NI NINI MAANA YA UDINI? KAMA UNAJUWA?.