Royals
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,466
- 378
Haya mambo yanazungumzwa pembeni pembeni tu.
"
NASA walishasema hakuna kitu siku hiyo,watu wamekoma kupiga makelele.
"
Hakuna cha Sayari Nibiru kuigonga dunia wala nini.
"
Kilichopo ni taarifa za mpango wa dunia kubadilika.Yaani kuuondoa mpango wa zaimani wa kumtegemea Mungu na kuleta mpango mpya wa binadamu kujitegemea mwenyewe.
"
Lakini pia habari hizi haziko wazi,bali kwa wale wanaofuatilia vyama vya siri watakua wanajua habari hizi.
"
Kwa kifupi hakuna kitu kama maafa siku hiyo,ila kama taarifa kutoka vyama vya siri ziko sahihi,mabadiliko yatakayotokea ni ya kimaisha na kiroho zaidi.
"
So,kama ni kujihami ni kujihami kiroho zaidi na sio kimwili.
"
Mambo ya majanga siku hiyo sio kweli kwamba yatatokea.Safisha matendo yako na umrudie Mungu!
Ule utabiri wa Mei 21 mwaka huu uligonga mwamba na bwana yule alisema tena kuwa kama siyo siku ile basi ingelikuwa ni 30 October mwaka huu, nayo ikapita.
Huu utabiri wa sasa nao hatujui kama waweza kuwa kweli au la. Kitu kizuri ni kuwa mtu anatakiwa awe tayari wakati wote. Kuna msemo usemao ulitaka kwenda mbinguni fikiria kuwa dakika chache zijazo hautakuweko duniani.