msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,786
- 5,963
Nadhani wa kututhibitishia hapa ni captain dunga na Proffesor wenyewe ila sidhani kama trudie anaweza kuwa alitudanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na pia hakuna mtu anayetoa kujifanya tajiri...kutoa ni moyo sema tatizo waafrika sijui ni wivu au roho mbaya all in all Mungu atusaidieHata hivyo tuwekee ushahidi kama ushawatumia wahusika maana humu jf kila mtu anajifanyaga tajiri na mwenye roho nzuri
Vizuri sana mkuu watathibitisha wenyeweNadhani wa kututhibitishia hapa ni captain dunga na Proffesor wenyewe ila sidhani kama trudie anaweza kuwa alitudanganya
Asante sana trudie. Mungu atakubariki na kukuongezea zaidi ulipotoa wapi watu wachache sana wenye moyo kama wako. Nashukuru sana kwa msaada wako bila wewe nisingepata hata matibabu. Asante sanaUshahidi watakuja kuleta wenyewe wahusika hope kila mmoja ameshapokea kiwango chake
Amina....Mungu akufanyie wepesi pia uvuke salama katika kipindi unachopitia
Nashukuru sana mkuu...lakini kwenye maisha "dont judge the book by its cover"..Mitandao ina mengi sana nyuma ya keyboard unaweza kumjudge mtu hivi lakini in real life yupo tofauti sanaPamoja na kutokuchukulia "serious" kwa sababu ya Avartar yako, nichukue wasaha huu kukupongeza kwa hili, kwa kweli nimefarijika wapo watu kama wewe bado huku TZ. Ubarikiwe sana na pia nimeguswa na uamuzi wa kutotaka kujisifia kwa kutoa na kuomba wenyewe wadhibitishe wakita, mmoja kafanya hivyo kwa kweli ni vizuri sana.
Kwa hiyo kazi yako wewe ni kulisha ukoo wako na ndugu zako?Halafu utakuta ndugu yake kijijini anakufa njaa kwa kukosa hela ya mboga!!
Hii haina tofauti na enzi za Papa Musofe na Twanga Pepeta!
Bora umemwambia mkuu, ndugu wanaweza kuwa na shida lakini nje na ndugu zako wapo wenye shida zaidi wanaohitaji msaada na hawana wa kuwasaidia.Kwa hiyo kazi yako wewe ni kulisha ukoo wako na ndugu zako?
Huwezi kusaidia wengine kwasababu hujamaliza kuinua ndg?
Hope siku hizi umebadili mtazamo katiia hili.
Asante
Nibadili msimamo kivipi yaani?Kwa hiyo kazi yako wewe ni kulisha ukoo wako na ndugu zako?
Huwezi kusaidia wengine kwasababu hujamaliza kuinua ndg?
Hope siku hizi umebadili mtazamo katiia hili.
Asante