END OF THE YEAR GIVE AWAY

END OF THE YEAR GIVE AWAY

Hata hivyo tuwekee ushahidi kama ushawatumia wahusika maana humu jf kila mtu anajifanyaga tajiri na mwenye roho nzuri
Ushahidi watakuja kuleta wenyewe wahusika hope kila mmoja ameshapokea kiwango chake
 
Na pia hakuna mtu anayetoa kujifanya tajiri...kutoa ni moyo sema tatizo waafrika sijui ni wivu au roho mbaya all in all Mungu atusaidie
 
Ushahidi watakuja kuleta wenyewe wahusika hope kila mmoja ameshapokea kiwango chake
Asante sana trudie. Mungu atakubariki na kukuongezea zaidi ulipotoa wapi watu wachache sana wenye moyo kama wako. Nashukuru sana kwa msaada wako bila wewe nisingepata hata matibabu. Asante sana
 
Amina....Mungu akufanyie wepesi pia uvuke salama katika kipindi unachopitia

Pamoja na kutokuchukulia "serious" kwa sababu ya Avartar yako, nichukue wasaha huu kukupongeza kwa hili, kwa kweli nimefarijika wapo watu kama wewe bado huku TZ. Ubarikiwe sana na pia nimeguswa na uamuzi wa kutotaka kujisifia kwa kutoa na kuomba wenyewe wadhibitishe wakita, mmoja kafanya hivyo kwa kweli ni vizuri sana.
 
Nashukuru sana mkuu...lakini kwenye maisha "dont judge the book by its cover"..Mitandao ina mengi sana nyuma ya keyboard unaweza kumjudge mtu hivi lakini in real life yupo tofauti sana
 
Asante sana trudie. Mungu atakubariki na kukuongezea zaidi ulipotoa wapi watu wachache sana wenye moyo kama wako. Nashukuru sana kwa msaada wako bila wewe nisingepata hata matibabu. Asante sana
Amina Mungu akuponye pia.
 
Halafu utakuta ndugu yake kijijini anakufa njaa kwa kukosa hela ya mboga!!

Hii haina tofauti na enzi za Papa Musofe na Twanga Pepeta!
Kwa hiyo kazi yako wewe ni kulisha ukoo wako na ndugu zako?
Huwezi kusaidia wengine kwasababu hujamaliza kuinua ndg?
Hope siku hizi umebadili mtazamo katiia hili.
Asante
 
Bora umemwambia mkuu, ndugu wanaweza kuwa na shida lakini nje na ndugu zako wapo wenye shida zaidi wanaohitaji msaada na hawana wa kuwasaidia.
 
Kwa hiyo kazi yako wewe ni kulisha ukoo wako na ndugu zako?
Huwezi kusaidia wengine kwasababu hujamaliza kuinua ndg?
Hope siku hizi umebadili mtazamo katiia hili.
Asante
Nibadili msimamo kivipi yaani?

Sibadili mzee

Ndugu zako ni extension of yourself,ndio maana family is the most important institution ever

Sasa ndugu zako wanafariki sababu ya njaa,wewe unamwaga hela barabarani,what the fvck is this?
 
Back
Top Bottom