Endapo kama chadema haina fedha kwa sasa hakuna ubaya uchaguzi wao ukahairishwa mpaka mwakani!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Hii ni kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa chadema, tulimsikia akidai chadema kwa sasa haina fedha, hata za uchaguzi.
-Hekima ni uhairishwe ili pia bwana mbowe anusurike 😁😁😁
#savembowe
#helpmbowe
#rescuembowe
 
Lakini,
chadema kama Taasisi yenye rasilimali za kuaminika inakopesheka.

wakope tu kufanikisha uchaguzi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…