Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Kila anapopita, Magufuli anawatisha Wananchi kuwa wakichagua upinzani hatawaletea maendeleo. Anayasema haya akijiamini kabisa utadhani ameshashinda uchaguzi.
Endapo ngekewa itakuwa kwake akafanikiwa kushinda, Majimbo yote yatakayoongozwa na upinzani 'tunamtaka' asikusanye kodi huko, awaachie wajiendeshe wenyewe kwa kodi zao.
Haiwezekani walipe kodi ambazo haziwanufaishi.