uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,244
Tafsiri yake atapita bila kupingwa kupata 90%sio mchezo.Huyu hatashinda isipokuwa atatangazwa na tume yake ya CCM
Tafsiri yake atapita bila kupingwa kupata 90%sio mchezo.Huyu hatashinda isipokuwa atatangazwa na tume yake ya CCM
Kuna kazi huku ya kusafisha mabanda ya nguruwe nitampa.Anzeni kumtafutia tundu cha kufanya kabisa, kwa maana ubunge hakuna, uwakili kibali chetu tunachukuwa, siajabu hata pasport yetu tukachukuwa pia, ...
Kaulize BK walichomfanyia...Kanda ya ziwa haiwezi kumuangusha mtoto wa nyumbani kamwe.tulieni 28 umuionee wenyewe.
Ndiyo mchezo utakao chezwaTafsiri yake atapita bila kupingwa kupata 90%sio mchezo.
Hilo ni jambo la msingi sana.Kila anapopita, Magufuli anawatisha wananchi kuwa wakichagua upinzani hatawaletea maendeleo. Anayasema haya akijiamini kabisa utadhani ameshashinda uchaguzi.
Endapo ngekewa itakuwa kwake akafanikiwa kushinda, majimbo yote yatakayoongozwa na upinzani 'tunamtaka' asikusanye kodi huko, awaachie wajiendeshe wenyewe kwa kodi zao.
Haiwezekani walipe kodi ambazo haziwanufaishi.