Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Magufuli gani kapiga magoti? Alikuwa anaomba kura wapi huko?Kama upinzani umekufa, mbona Magufuli anapiga magoti kuomba kura?
Kila anapopita, Magufuli anawatisha wananchi kuwa wakichagua upinzani hatawaletea maendeleo. Anayasema haya akijiamini kabisa utadhani ameshashinda uchaguzi.
Endapo ngekewa itakuwa kwake akafanikiwa kushinda, majimbo yote yatakayoongozwa na upinzani 'tunamtaka' asikusanye kodi huko, awaachie wajiendeshe wenyewe kwa kodi zao.
Haiwezekani walipe kodi ambazo haziwanufaishi.
Kwa hasira atakazo kuwa nazo, hasa kwa mikoa ya kanda ya ziwa aliyokuwa akiamini kuwa ndio ngome yake, kumbe wanafiki tu, watalia na kusaga meno!!! Lazima ataonyesha chuki ya wazi wazi.
Hiyo sio sera ya ccm, ukitaka sera hiyo mchaguweni lissu wenu.Jpm akishinda tusahau habari za haki, Uhuru na maendeleo ya MTU mmojammoja.Tutakandamizwa hatariii
Kanda ya ziwa haiwezi kumuangusha mtoto wa nyumbani kamwe.tulieni 28 umuionee wenyewe.Kwa hasira atakazo kuwa nazo, hasa kwa mikoa ya kanda ya ziwa aliyokuwa akiamini kuwa ndio ngome yake, kumbe wanafiki tu, watalia na kusaga meno!!! Lazima ataonyesha chuki ya wazi wazi.