Endapo Magufuli atashinda, asitoze kodi Majimbo yatakayonyakuliwa na Upinzani

Sijawahi kuona popte duniani yaani tunaomba kura kwa vitisho!!
 
Majimbo waliyoshinda wapinzani ndio watoa Kodi wazuri sasa sijui kwanini ukomoe wananchi
 
Hilo ni jambo la msingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…