stop that nonsense, nchi ni ya wananchi. Rais siyo mmiliki wa watanzania 60 or so millions. We are not objects of the presidenthakuna anayehoji kuhusu sheria za uraia Kwa Sababu anayeteua ndiye mwenye nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
stop that nonsense, nchi ni ya wananchi. Rais siyo mmiliki wa watanzania 60 or so millions. We are not objects of the presidenthakuna anayehoji kuhusu sheria za uraia Kwa Sababu anayeteua ndiye mwenye nchi.
Hoja Imeungwa MkonoThibitisha Uraia wa Kikeke.
Mimba ya Mbowe tayari inakusumbuwa.Eti naskia Mbowe ni Mkikuyu.
Alianza Charles Hilary , akafuata Zuhura Yunusu na Sasa Salim Kikeke. Sina hoja Kwa Charles na Zuhura Kwa Sababu walikuwa raia WA Tanzania na awakuwahi kupata uraia huku ughaibuni.
Kwa Salim Kikeke inazaliwa hoja ya uraia, hoja hii inakwenda kuathiri utaratibu mzima WA uteuzi kwenye secta ya umma ambayo nivigumu mgeni kupewa ajira au nafasi ya kuteuliwa. Upo uwezekano Kikeke kaacha KAZI BBC kama maandalizi yakurejea kwenye asili yake....that's good kwamba mtoto anarudi home Kwa wazazi wake. Lakini vipi kuhusu sheria za nchi?
Zanzibar wamerejesha watu wengi wenye passport mbili na wamepewa uteuzi maeneo nyeti.....hakuna anayehoji kuhusu sheria za uraia Kwa Sababu anayeteua ndiye mwenye nchi. Lakini hii Tabia ikiendelea kuna umuhimu wa kukataa uraia Pacha? Au uraia Pacha utakuwa Kwa vigogo na wenye connection kwamba wanaweza kupewa ajira Bila kujali uraia wao wala sheria za nchi?
Ningependa Kikeke aingie kwenye list ya wateule ili tufungue milango ya Sisi tishio na connection kupata uraia Pacha. Diaspora tutumie fursa hizi kujenga hoja watawala waliopo ambao Wana nasaba na wageni watuvushe tuweze kuwa na Haki ya uraia wetu WA kuzaliwa huku tukipata pia fursa ya kutumikia uraia WA mataifa ya ulimwengu wa kwanza.
Complicated but complete
Umesema kweli sana! Kwani hawa raia si ndio majizi makubwa! Maccm, mapuuzi Sana!Kama mtu anafanya jambo kwa manufaa ya nchi, hakuna haja ya kuzingatia uraia wake. Yeyote atayeleta tija kwenye nchi mpeni uongozi
kikeke anakwenda azm mediaAlianza Charles Hilary , akafuata Zuhura Yunusu na Sasa Salim Kikeke. Sina hoja Kwa Charles na Zuhura Kwa Sababu walikuwa raia WA Tanzania na awakuwahi kupata uraia huku ughaibuni.
Kwa Salim Kikeke inazaliwa hoja ya uraia, hoja hii inakwenda kuathiri utaratibu mzima WA uteuzi kwenye secta ya umma ambayo nivigumu mgeni kupewa ajira au nafasi ya kuteuliwa. Upo uwezekano Kikeke kaacha KAZI BBC kama maandalizi yakurejea kwenye asili yake....that's good kwamba mtoto anarudi home Kwa wazazi wake. Lakini vipi kuhusu sheria za nchi?
Zanzibar wamerejesha watu wengi wenye passport mbili na wamepewa uteuzi maeneo nyeti.....hakuna anayehoji kuhusu sheria za uraia Kwa Sababu anayeteua ndiye mwenye nchi. Lakini hii Tabia ikiendelea kuna umuhimu wa kukataa uraia Pacha? Au uraia Pacha utakuwa Kwa vigogo na wenye connection kwamba wanaweza kupewa ajira Bila kujali uraia wao wala sheria za nchi?
Ningependa Kikeke aingie kwenye list ya wateule ili tufungue milango ya Sisi tishio na connection kupata uraia Pacha. Diaspora tutumie fursa hizi kujenga hoja watawala waliopo ambao Wana nasaba na wageni watuvushe tuweze kuwa na Haki ya uraia wetu WA kuzaliwa huku tukipata pia fursa ya kutumikia uraia WA mataifa ya ulimwengu wa kwanza.
Complicated but complete
Maendeleo gani utakayo yaleta?Ndo naposhangaa hapo, wakati siye tuko tayari kuleta maendeleo home ila tunazuiwa
Na vijisheria
Dah, swali gumu aiseeee 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Maendeleo gani utakayo yaleta?
Kwa nini usiyalete Sasa kama Mwekezaji?
Vyovyote itavyokuwa, akitokea kuukwaa uteuzi anapaswa kuwa makini asiikosee serikali; vinginevyo namuasa arejee yaliyomkuta Ali Nabwa kule Zanzibar. Tanbihi: Ali Nabwa alifikia kuwa msaidizi wa Rais lkn baadae akageuka akawa mkosoaji mkubwa wa serikali kupitia gazeti la Dira kule Zanzibar. Yaliyomkuta wengine tunakumbuka.Alianza Charles Hilary , akafuata Zuhura Yunusu na Sasa Salim Kikeke. Sina hoja Kwa Charles na Zuhura Kwa Sababu walikuwa raia WA Tanzania na awakuwahi kupata uraia huku ughaibuni.
Kwa Salim Kikeke inazaliwa hoja ya uraia, hoja hii inakwenda kuathiri utaratibu mzima WA uteuzi kwenye secta ya umma ambayo nivigumu mgeni kupewa ajira au nafasi ya kuteuliwa. Upo uwezekano Kikeke kaacha KAZI BBC kama maandalizi yakurejea kwenye asili yake....that's good kwamba mtoto anarudi home Kwa wazazi wake. Lakini vipi kuhusu sheria za nchi?
Zanzibar wamerejesha watu wengi wenye passport mbili na wamepewa uteuzi maeneo nyeti.....hakuna anayehoji kuhusu sheria za uraia Kwa Sababu anayeteua ndiye mwenye nchi. Lakini hii Tabia ikiendelea kuna umuhimu wa kukataa uraia Pacha? Au uraia Pacha utakuwa Kwa vigogo na wenye connection kwamba wanaweza kupewa ajira Bila kujali uraia wao wala sheria za nchi?
Ningependa Kikeke aingie kwenye list ya wateule ili tufungue milango ya Sisi tishio na connection kupata uraia Pacha. Diaspora tutumie fursa hizi kujenga hoja watawala waliopo ambao Wana nasaba na wageni watuvushe tuweze kuwa na Haki ya uraia wetu WA kuzaliwa huku tukipata pia fursa ya kutumikia uraia WA mataifa ya ulimwengu wa kwanza.
Complicated but complete
Mwenyekiti wa Chadema naye ni Mnyasa wa Malawi na akina Karume!Yule alikuwa Rais si tuliambiwa ni Mhutu? Au kwa wahutu sio tatizo?
Tena kwangu mimi sioni tatizo hata akiteuliwa asiye raia wa Tanzania alimradi awe ana-perform vizuri zaidi kuliko Watanzania.Sioni tatizo lolote juu ya uraia pacha.
Kama alioa sawaHujui tu, kikeke alishapewa uraia huku na alioa mke huku
Kuwa mhutu sio hoja, Kama umemuelewa vizuri mtoa mada anazungumzia uraia. Huyo mhutu anaweza kuwa mhutu lakini Hana uraia wa huko Bali Ana uraia wa TanzaniaMbona wahutu wengi tu ni viongozi hapa?
Kuna mmoja hata aliwahi kuwa mkurugenzi wa uhamiaji? Nasikia
Sijui mtawali
Mpumbavu maza wakoila kuna mijitu mijinga kama wewe. huoni kuwa alibadilisha uraia wewe mpumbavu
Wanajiita "Wahangaza".Mbona wahutu wengi tu ni viongozi hapa?
Kuna mmoja hata aliwahi kuwa mkurugenzi wa uhamiaji? Nasikia
Sijui mtawali
Anajisahaulisha kwa mbunge wa bukombe sio RAIA lakini ni waziri. Uraia ni maneno tuu ya kumfanya MTU asiye na manufaa apoteze fursa.Kama mtu anafanya jambo kwa manufaa ya nchi, hakuna haja ya kuzingatia uraia wake. Yeyote atayeleta tija kwenye nchi mpeni uongozi