Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Ni siku ya maumivu Sana Jana na Leo kukataliwa kwa goli la yanga walipocheza. Mameloni wamefanya hujuma. Maumivu yangu sio yanga kufuzu Ila ni pesa ambayo ilibid nile kwasababu nilibetia yanga apate goli moja
Ninaomba yanga wafungue kesi ili wakishinda basi mm nipate pesa yangu, betpawa hii pesa mtanipa tuu
Ninaomba yanga wafungue kesi ili wakishinda basi mm nipate pesa yangu, betpawa hii pesa mtanipa tuu