Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hiyo ishatoka Mkuu 🤣🤣Ni siku ya maumivu Sana Jana na Leo kukataliwa kwa goli la yanga walipocheza. Mameloni wamefanya hujuma. Maumivu yangu sio yanga kufuzu Ila ni pesa ambayo ilibid nile kwasababu nilibetia yanga apate goli moja
Ninaomba yanga wafungue kesi ili wakishinda basi mm nipate pesa yangu, betpawa hii pesa mtanipa tuu
Ile kuskia tu mtu anabett huwa nakaa naye mbali sana! Betting ni kansa! Anyway kila mtu ashinde mechi zake.Ni siku ya maumivu Sana Jana na Leo kukataliwa kwa goli la yanga walipocheza. Mameloni wamefanya hujuma. Maumivu yangu sio yanga kufuzu Ila ni pesa ambayo ilibid nile kwasababu nilibetia yanga apate goli moja
Ninaomba yanga wafungue kesi ili wakishinda basi mm nipate pesa yangu, betpawa hii pesa mtanipa tuu
We must learn to respect each other uwezo wetu wa kiuchumi unatofautiana wewe kweli uko vzr kubetia hio laki mbili unajua utapata nyingine.Sasa unatufokea sisi au betpawa wapo hapa.. We tulia kwanza tushughulikie rufaa utabebwa na walioweka mizigo we umeweka ki 10000 unaanzisha thread au niweke mkeka wangu hapa wa laki mbili yanga awin
Bora umesemaWe must learn to respect each other uwezo wetu wa kiuchumi unatofautiana wewe kweli uko vzr kubetia hio laki mbili unajua utapata nyingine.
Ila muheshimu basi mwenye kidogo nae hapa duniani hatuko sawa.