John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika.
Utaratibu uliopo, Mshindi wa Ligi kuu pekee na mshindi wa FA cup ndiyo wanaopata tiketi ya kushiriki club bingwa moja kwa moja.Endapo mshindi wa Ligi kuu ndiye mshindi wa FA cup basi mshindi wa pili wa Ligi kuu huchukuliwa.Hivyo endapo Yanga atashinda fainali ya FA cup atakuwa mshindi wa Ligi kuu pamoja na FA cup hivyo kumfanya mshindi wa pili wa Ligi kuu ambaye ni Simba sc kushiriki CAFCL. Endapo Azam Fc watashinda FA cup basi yeye pamoja na mshindi wa Ligi kuu pekee ndiyo watakaoshiriki CAFCL