cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Umeitoaa wapiii hii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mujibu wa utaratibu mpya wanaoshiriki CAF ni mshindi wa Ligi kuu na FA Cup, Hapo Yanga akipigwa Simba hawana chao CAFCL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeitoaa wapiii hii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mujibu wa utaratibu mpya wanaoshiriki CAF ni mshindi wa Ligi kuu na FA Cup, Hapo Yanga akipigwa Simba hawana chao CAFCL
Chura anaruka ruka chura ×2Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika.
Utaratibu uliopo, Mshindi wa Ligi kuu pekee na mshindi wa FA cup ndiyo wanaopata tiketi ya kushiriki club bingwa moja kwa moja.Endapo mshindi wa Ligi kuu ndiye mshindi wa FA cup basi mshindi wa pili wa Ligi kuu huchukuliwa.Hivyo endapo Yanga atashinda fainali ya FA cup atakuwa mshindi wa Ligi kuu pamoja na FA cup hivyo kumfanya mshindi wa pili wa Ligi kuu ambaye ni Simba sc kushiriki CAFCL.Endapo Azam Fc watashinda FA cup basi yeye pamoja na mshindi wa Ligi kuu pekee ndiyo watakaoshiriki CAFCL
View attachment 2654236
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkiambiwa mwiko huko nyuma unawafanya kuwa wehu mnaona mnatukanwa.
Naomba kesho timu yangu bingwa wa nchi afungwe makusudi tu na Azamu ili hawa makolo wakacheze kombe walilokuwa wanatubeza eti kombe la washindwa huku wao wakiishia robo robo kila mwakaEndapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika.
Utaratibu uliopo, Mshindi wa Ligi kuu pekee na mshindi wa FA cup ndiyo wanaopata tiketi ya kushiriki club bingwa moja kwa moja.Endapo mshindi wa Ligi kuu ndiye mshindi wa FA cup basi mshindi wa pili wa Ligi kuu huchukuliwa.Hivyo endapo Yanga atashinda fainali ya FA cup atakuwa mshindi wa Ligi kuu pamoja na FA cup hivyo kumfanya mshindi wa pili wa Ligi kuu ambaye ni Simba sc kushiriki CAFCL.Endapo Azam Fc watashinda FA cup basi yeye pamoja na mshindi wa Ligi kuu pekee ndiyo watakaoshiriki CAFCL
View attachment 2654236
Unarukaruka tu"Kama ikitokea Yanga SC bingwa wa aza fedaration nafasi yake inabidi apewe nafasi ya tatu kwakuwa nafasi ya kwanza na pili wanaenda CAF CHAMPION.
Kusema kwamba nafasi ya tatu ni Azam FC lakini kwa nafasi yate tunapeleka team 4 na azam yeye tayari anasifa ya kwenda SHIRIKISHO hiyo nafasi inaapewa timu ya nne ambayo ni Singida BS
Kama Azam FC anakuwa bingwa ataenda kama bingwa wa kombe la AZAM FEDERATION alafu nafasi ya ligi inachukuliwa na Singida Big Stars
KLABU BINGWA
YANGA [emoji736]
SIMBA[emoji736]
SHIRIKISHO
AZAM [emoji736]
SINGIDA[emoji736]
Pasi kujali matokeo ya Azam na Yanga.
Muwe mnafatilia mpira jamani, kombe la azam halitoi mshiriki wa CL.Naomba kesho timu yangu bingwa wa nchi afungwe makusudi tu na Azamu ili hawa makolo wakacheze kombe walilokuwa wanatubeza eti kombe la washindwa huku wao wakiishia robo robo kila mwaka
Ni sheria za wapi zinaamua?Yani kwa ubongo wake anafikiria kuwa linapokuja swala la timu ipi ishiriki Club Bingwa na timu ipi ianzie shirikisho basi ye anajua jambo hilo huamuliwa na sheria za nchi husika
Halafu ukute mleta hoja ni mtu kabisa anategemewa na familia yake..!
Ule Uzi wetu wa Kibu denga vs Fiston Mayele unakusubiri.Ilikuwa lazima uukimbie uzi.