Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali FA. Simba watadondokea moja kwa moja kombe la shirikisho Afrika

Chura anaruka ruka chura ×2
 
"Kama ikitokea Yanga SC bingwa wa aza fedaration nafasi yake inabidi apewe nafasi ya tatu kwakuwa nafasi ya kwanza na pili wanaenda CAF CHAMPION.

Kusema kwamba nafasi ya tatu ni Azam FC lakini kwa nafasi yate tunapeleka team 4 na azam yeye tayari anasifa ya kwenda SHIRIKISHO hiyo nafasi inaapewa timu ya nne ambayo ni Singida BS

Kama Azam FC anakuwa bingwa ataenda kama bingwa wa kombe la AZAM FEDERATION alafu nafasi ya ligi inachukuliwa na Singida Big Stars

KLABU BINGWA
YANGA [emoji736]
SIMBA[emoji736]

SHIRIKISHO
AZAM [emoji736]
SINGIDA[emoji736]

Pasi kujali matokeo ya Azam na Yanga.
 
Naomba kesho timu yangu bingwa wa nchi afungwe makusudi tu na Azamu ili hawa makolo wakacheze kombe walilokuwa wanatubeza eti kombe la washindwa huku wao wakiishia robo robo kila mwaka
 
Unarukaruka tu
 
Naomba kesho timu yangu bingwa wa nchi afungwe makusudi tu na Azamu ili hawa makolo wakacheze kombe walilokuwa wanatubeza eti kombe la washindwa huku wao wakiishia robo robo kila mwaka
Muwe mnafatilia mpira jamani, kombe la azam halitoi mshiriki wa CL.
 
Wana UTOPOLO kama kawaida ni KUJAZA serve za Jamii forum bila Huruma na kudhihirisha Ujuha WENU.

Nani amewaroga????
Mbona Nyuzi zeni ni UPUMBAFU MTUPU.

FICHA UJINGA.

AVATOR YAKO HAIFANANI NA UPUUUUZIIII WAKO.
 

Attachments

  • FB_IMG_1682646137959.jpg
    11 KB · Views: 3
Yani kwa ubongo wake anafikiria kuwa linapokuja swala la timu ipi ishiriki Club Bingwa na timu ipi ianzie shirikisho basi ye anajua jambo hilo huamuliwa na sheria za nchi husika
Ni sheria za wapi zinaamua?
 
Halafu ukute mleta hoja ni mtu kabisa anategemewa na familia yake..!


Jamaa hata hafananii na UPUUMB3FU wake.

Kuanzia Jina na Avator.

Mi namshauri abadili jina na AVATOR yake anatudhalilisha wavaa tie.
 
Mashabiki wa Yanga ni bora wangeuzwa pamoja na BANDARI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…