Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali FA. Simba watadondokea moja kwa moja kombe la shirikisho Afrika

Ndio atacheza kwasababu amesajiliwa ndani ya msimu wa dirisha kubwa

Angekuwa amesajiliwa kipindi cha dirisha dogo asingecheza, kutokana na kwamba Yanga walishawasilisha jina lake CAF.
Umezidi kuwachangaza VICHWA PANZI!
 
Kama Rs Berkane alishinda kombe la shirikisho msimu uliopita na msimu huu kacheza shirikisho CAF .Je! CAF na Azam federetion ni ipi yenye hadhi
 
Kama Rs Berkane alishinda kombe la shirikisho msimu uliopita na msimu huu kacheza shirikisho CAF .Je! CAF na Azam federetion ni ipi yenye hadhi
sielewi hata mantiiki ya swali lako, maana washindi wa hayo makombe wanaenda shirikisho, unless wawe nafasi za kuingia club bingwa. sasa jijibu.
 
Amfibia unazidi kuwafanya amfibia wenzako Wazidi kuonekana ni hamnazo kama Msukule Manara alivyowahi kusema .
 
cokies

Paw

Active.

Huu Uzi WA kupotosha Hadi sasa upo hapa kwa LENGO Gani???

Mbona hauna ukweli na Tumetoa cralification zake???

JUKWAA LETU PENDWA TUNARIHALIBU KWA KUISHI NA UPOTOSHAJI KAMA HUU.

NYUZI ZENYE UONGO NINGETAMANI ZINGEKUWA ZINAONDOLESA AMA ZINAFUTWA.

Tunazidi kuishisha hadhi Jamii Forum.
 
Champions league anaenda Yanga na Simba yaani mshindi wa 1 na WA Pili, confederation anaenda Azam na Singida, huo ndo utaratibu ulivyo..
 
Hata simba isiposhiriki cuf. Conf wala shirikisho sio, nyinyi CCM FC wala Azam watakao chukua ubingwa wa hayo makombe.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Kolo atacheza tu Club Bingwa maana as Yanga lazima tutetee kombe letu
 
Mzee, fatilia mambo mengine mpira hujui..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwaambia nyie mazuzu mnasema ww dada hivi ooh vile....
 
Halafu ukute mleta hoja ni mtu kabisa anategemewa na familia yake..!
Uto wamejaa vilaza..
Halafu huwa hawafikirii mara mbili unakuta wanaanzisha thread yenye ujumbe huo huo hata wa4...
 
Ale chuma hiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…