*Wema Sepenga.
*Irene Uwoya.
*Jackline Wolper.
*Kajala.
*Lulu Michael
N.k
Kama unadhani ni bongo movie ndiyo inawaweka mjini basi nenda na wewe kaigize uwone kama utatoboa.
Wote hawa Wana sura na shepu za mauzo ndiyo maana wapo mjini na maisha yanaenda
Sepenga hadi sasa yupo bankrupt at most hayupo vizuri na ndio shida ya kutegemea mwili kuishi mjini ukiacha na pesa zote zinatoweka.
Uwoya aliyekwambia yupo vizuri kifedha ni nani, yale maigizio yake ya kugawa pesa mitandaoni ndio unahisi anapesa? Subiri utakuja kuona habari yake. Muda si mrefu utasikia anaitafuta ndoa.
Wolper alikuwa ameshafilisika, MUNGU amfungua macho akajiweka kwa bwana mdogo jina limenitoka baada ya kustuka umri unakwenda maisha yanaenda hovyo hovyo. Mwisho wa siku akajituliza kwa yule kijana na ndipo mambo yakaanza kufunguka, amepata mtoto na soon anapata mwingine, biashara anazofanya kwa sasa zinafanya vizuri maisha yanatengamaa. Na amejiweka mbali sana na mitandao ya kijamii na maskendo.
Akirudia tu yale maisha yake atapotea tena.
Kajala hana maisha ana tanga tanga tu na mtoto wake wanaliwa na wanaume wa mjini ila wasikudanganye kuwa wanamaisha mazuri. Ukitaka kujua subiria wapatwe na changamoto ndipo utajua hali zao. So ukiachana na maigizo yao hapa mjini si watu wemye maisha hawana hata makazi ya kueleweka wanaishi wapi.
Lulu inajulikana kuwa ameolewa na mtu mwenye pesa na ndio maana unaona kwasasa maisha yake yanauelekeo ila kabla ya hapo uliona anavyohangaika. Ndio imemuokoa kwasasa anaishi kwa stara.
Kwa kifupi mwanamke awe hata na pesa ila akiwa nje ya ndoa na akakosa mwanaume anayejitambua then ataishi maisha ya kishetani sana na ataharibikiwa yeye na kizazi atakachokianzisha katika mfumo huo.
Ndoa inampa mahitaji ambayo hakuna pesa hapa duniani inaweza kununua.
Ndio maana hata vitabu vya MUNGU vilisema kila kifanywacho nje ya ndoa kuanzia mahusiano,ngono,kuzaa watoto na hata matokeo yake ni haramu.
Sasa unaona hata wewe nakuhakikishia utakuwa ni mtoto wa nje ya ndoa ambaye unapozaliwa tu pale unakuwa umeshaharamishwa na ulimwengu bila kujijua maana wazazi wako wamekuleta katika ulimwengu kwa njia haramu na hivyo huwezi kuwa na baraka za MUNGU ingawa unaweza kumiliki mali na utajiri ila vyote hivyo vitaharamishwa hadi pale utakapomtafuta MUNGU mwenyewe na kuomba ulinzi kwake kwa kutambua makosa ya wazazi wako.
Sasa wewe mwanaharamu nenda kwa waliokutuma uje kuharamisha ndoa kuwa umefeli vibaya na ujumbe wako haukupokelewa vema mjaalaana mkubwa weye.