Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
 
mpira haujaisha mkuu haya tuwe na akiba ya maneno😀
Sasa hivi Utabiri wangu unaenda kama nilivyoandika Awali huoni Watu wakijitokeza Kuuchangia sasa ngoja Morocco wasawazishe au waje Kushinda Wao utawaona Wanafiki wanakuja haraka haraka Kuuchangia huu Uzi huku Wakinicheka, Wakinisema vibayae na Wakinidhihaki pia.
 
hapa wanasubir hakimi arudishe goli utaona watakavyokuja kwa wingi kusema wewe ni muongo😂😂🤣
 
hapa wanasubir hakimi arudishe goli utaona watakavyokuja kwa wingi kusema wewe ni muongo😂😂🤣
Mwenyezi Mungu kawaumbua Penati ya Morocco imekoswa na dakika zilizobakia ni Tatu ( 3 ) tu kwa sasa.
 
Na sioni sababu ya Kuongezwa kwa dakika 10 sana sana ni kama vile Morocco wanataka Kubebwa.
 
Back
Top Bottom