Mamelod mara ya mwisho kuchukua cafcl ni lini?Kwa mtu anayefuatilia mpira kwa kina kama wewe mtaalam GENTAMYCINE upo sahihi. Kile kikosi kimejaaa wachezaji wa mamelodi ambao kila siku wanawapiga waarabu nje ndani. Vile vijamaa ni vifupi, ila vinacheza pasi fupi fupi za haraka mno , na counter attack ndefu za haraka mno. Ila vile vijamaa vinakimbia sio poa dakika zote 90. Halafu vinajua kushikilia bomba.
Swali kwako mtaalam, huwa najiulizaga hao wachezaji wa mamelodi wanatoa wapi stamina ya kukimbia kama mshale mwanzo mpaka mwisho wa mechi?