GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Matokeo vipi mpaka sasa Mkuu?Muda utasema zaidi
Bado tu hutaki na huamini Mkuu?Sawa
Ivo na ikitokea hadi mwisho naomba nikufollowBado tu hutaki na huamini Mkuu?
Sasa hivi Utabiri wangu unaenda kama nilivyoandika Awali huoni Watu wakijitokeza Kuuchangia sasa ngoja Morocco wasawazishe au waje Kushinda Wao utawaona Wanafiki wanakuja haraka haraka Kuuchangia huu Uzi huku Wakinicheka, Wakinisema vibayae na Wakinidhihaki pia.mpira haujaisha mkuu haya tuwe na akiba ya maneno😀
hapa wanasubir hakimi arudishe goli utaona watakavyokuja kwa wingi kusema wewe ni muongo😂😂🤣Sasa hivi Utabiri wangu unaenda kama nilivyoandika Awali huoni Watu wakijitokeza Kuuchangia sasa ngoja Morocco wasawazishe au waje Kushinda Wao utawaona Wanafiki wanakuja haraka haraka Kuuchangia huu Uzi huku Wakinicheka, Wakinisema vibayae na Wakinidhihaki pia.
Mwenyezi Mungu kawaumbua Penati ya Morocco imekoswa na dakika zilizobakia ni Tatu ( 3 ) tu kwa sasa.hapa wanasubir hakimi arudishe goli utaona watakavyokuja kwa wingi kusema wewe ni muongo😂😂🤣
GENTAMYCINE niliposema mapema hapa kuwa Gwiji lingine la Afrika Morocco leo linang'oka si mlikuwa hamniamini?Cha pili huko tayari
Yaani niache Kuwashangilia Weusi Wenzangu na wana SADC Wenzangu niwashangilie Wabaguzi Morocco ambao katika World Cup iliyoisha bila hata ya Aibu Wachezaji wao walikuwa wakisema Wao siyo Waafrika bali ni Wazungu?Mungu ibariki southafrica
Sawa tumekubari KING [emoji146]GENTAMYCINE niliposema mapema hapa kuwa Gwiji lingine la Afrika Morocco leo linang'oka si mlikuwa hamniamini?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King Ok?
Yaani niache Kuwashangilia Weusi Wenzangu na wana SADC Wenzangu niwashangilie Wabaguzi Morocco ambao
Mpaka unaona nina Followers 177 hapa JamiiForums jua GENTAMYCINE ni Habari nyingine Mkuu sawa?Mkuu mimi mwenyewe naamini
Ivo na ikitokea hadi mwisho naomba nikufollow