Mamelod mara ya mwisho kuchukua cafcl ni lini?Kwa mtu anayefuatilia mpira kwa kina kama wewe mtaalam GENTAMYCINE upo sahihi. Kile kikosi kimejaaa wachezaji wa mamelodi ambao kila siku wanawapiga waarabu nje ndani. Vile vijamaa ni vifupi, ila vinacheza pasi fupi fupi za haraka mno , na counter attack ndefu za haraka mno. Ila vile vijamaa vinakimbia sio poa dakika zote 90. Halafu vinajua kushikilia bomba.
Swali kwako mtaalam, huwa najiulizaga hao wachezaji wa mamelodi wanatoa wapi stamina ya kukimbia kama mshale mwanzo mpaka mwisho wa mechi?
Wala hujakosea tena uko sahihi 100% je, unaweza kunipa sababu Wabashiri wa Kubeti kuweka hadi Kubeti kwa Mechi yoyote ile hata kuanzia Kipindi cha Pili ( baada ya Mapumziko ) na bado ukiupatia huko Mkeka wako unashindwa Malaki na Mamilioni?Huu Uzi Umeanzishwa Baada Ya Kipindi Cha Kwanza Kuisha.
Asante ia nasikiitika kuwa wengi wenu ( JamiiForums Members ) mmechelewa sana Kulijua hili.Mkuu GENTAMYCINE wewe ni mmoja wa Manabii ndani ya JamiiForums.....
Mfumo wa Uchezaji wa Mpira wa Afrika Kusini na hata katika Ligi Kuu yao ya PSL unatumika na hata katika Academies zao ni Mpira wa Kasi na Nguvu.Kwa mtu anayefuatilia mpira kwa kina kama wewe mtaalam GENTAMYCINE upo sahihi. Kile kikosi kimejaaa wachezaji wa mamelodi ambao kila siku wanawapiga waarabu nje ndani. Vile vijamaa ni vifupi, ila vinacheza pasi fupi fupi za haraka mno , na counter attack ndefu za haraka mno. Ila vile vijamaa vinakimbia sio poa dakika zote 90. Halafu vinajua kushikilia bomba.
Swali kwako mtaalam, huwa najiulizaga hao wachezaji wa mamelodi wanatoa wapi stamina ya kukimbia kama mshale mwanzo mpaka mwisho wa mechi?
Sijui kwakuwa pia siwapendi kabisa.Hivi huyu moroco mara ya mwisho kubeba afcon ni lini?
Swali lake ni Mamelodi Sundowns FC kuchukua Ubingwa lini au ni kwanini Wachezaji wa Timu hiyo wana Mpira wa Nguvu na Kasi?Mamelod mara ya mwisho kuchukua cafcl ni lini?
"Kula chuma hiko"Ndo maana nkasemaga juzi wewe ni mtu muhimu kwenye hili taifa 🍻 keo narudia tena huna mpizani mkuu pamoja na yote ww ni game chenja
Mamelody kuchukua supercup mara ya mwisho ni lini na walimfunga nani?Mamelod mara ya mwisho kuchukua cafcl ni lini?
Huwa unastahili mara zote kupewa tuzo ya jukwaa hili, utabebaa sanaa. [emoji122][emoji122][emoji122]GENTAMYCINE nikisema muwe mnanielewa. Tayari South Africa. 1 na Morocco yenu 0.
Mini ndiyo GENTAMYCINE The King Ok?
[emoji23][emoji23][emoji23]Asante ia nasikiitika kuwa wengi wenu ( JamiiForums Members ) mmechelewa sana Kulijua hili.
Ashukuriwe mno tu Mwenyezi Mungu.
Chuki zenu na Wivu wenu dhidi yangu hapa JamiiForums kutokana na Umaarufu na Mvuto wangu wa Kipekee na Uliotukuka ni Baraka Kubwa sana Kwangu.Endelea kuwaokota. Uzi umeanzishwa saa 8 usiku mpira umeshaisha.
Uchambuzi bora kabisaa.Mfumo wa Uchezaji wa Mpira wa Afrika Kusini na hata katika Ligi Kuu yao ya PSL unatumika na hata katika Academies zao ni Mpira wa Kasi na Nguvu.
Pia usisahau kuwa sehemu Kubwa ya Afrika Kusini ni Baridi sana hivyo Kisayansi Mtu anayefanya Mazoezi katika Ukanda wa Baridi hulazimika kutumia Nguvu nyingi ili pia kutengeneza Joto la Mwili ili Kulibalansi hali ambayo husaidia kuongeza Kasi ya Mwili kutenda Kazi na hata Mtu Kuwajibika zaidi kuliko wale wanaoishi maeneo ya Joto Kali kama huku Kwetu Afrika Mashariki au kule Sudan.
Hivyo baada ya Vilabu vya Afrika Kusini kujua hilo na Wao Kiufundi wakiwa wanataka Kusajili Wachezaji wa Kimataifa hutumia Vigezo hivi hivi vikubwa Viwili vya kuangalia je, na Wao wanatoka katika nchi zenye Baridi na Ligi zao ni ya matumizi makubwa ya Nguvu na Kasi?
Chunguza hata hao Wachezaji wa Kigeni wa Mamelodi Sundowns FC nchi wanazotoka ni zenye Hali ya Hewa inayofanana na ya Afrika Kusini na Mfumo wa Mpira kama Wao wa Kasi na Nguvu.
Ni haya tu Mkuu wangu. Siku Njema.
Nadhani hujafurahi kama Mimi kwa kutoka Kwao. Yaani wao ni Waafrika Wenzetu halafu walitukana na Kutubagua wazi wazi.Bora wametoka
Ova
Nadhani hukunishinda Mimi Mkuu.Jana nilipata furaha sana ile mibaguzi kupigwa mbili kavu na iende ikafie mbali.
HATERS wangu hapa WANAUMIA kweli kweli kwa huu UKWELI wako na KUNIKUBALI Kwako / Kwenu GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" UBARIKIWE na MBARIKIWE nyote. mnaotambua THAMANI yangu ya Kipekee hapa JamiiForums..Huwa unastahili mara zote kupewa tuzo ya jukwaa hili, utabebaa sanaa. [emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji122][emoji122][emoji122]HATERS wangu hapa WANAUMIA kweli kweli kwa huu UKWELI wako na KUNIKUBALI Kwako / Kwenu GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" UBARIKIWE na MBARIKIWE nyote. mnaotambua THAMANI yangu ya Kipekee hapa JamiiForums..
Ashukuriwe mno tu Mwenyezi Mungu.
Cc: HATERS Mtani wa Taifa, Ubena Zomozi, Dr Matola PhD, CAPO DELGADO, Omulasil na Wengineo baadhi.