Endeleeni tu kutuficha ya 'Ki-Beat', ila tutaendelea Kuwatembelea Mahospitalini Kwao kuwapa Pole na 'Majeraha' yao makubwa

Endeleeni tu kutuficha ya 'Ki-Beat', ila tutaendelea Kuwatembelea Mahospitalini Kwao kuwapa Pole na 'Majeraha' yao makubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mwamba aliyeondoka aliwapa Kazi ya Kusaficha Wazee wa Morogoro na hao Wapumbavu na Wahuni walidhibitiwa vilivyo na Wengine hadi Kukimbilia nchi Jirani.

Cha Kushangaza aliyeko sasa anatanguliza Huruma na Imani yake ya Kidini kwa Kuogopa kuruhusu tena Wazee wa Morogoro warejee ili Safari hii siyo tu Wakasafishe hilo Eneo bali Wakangoe hadi Visiki na kusiwe na Takataka zozote tena.

Wengine ( akina GENTAMIYCINE ) mtusamehe tu kwani tuna Upako wa kupata Taarifa tena za Ndani kabisa ama kutoka kwa Watendaji au Mabosi zao huku wakiwa hawajui kuwa huyo wanayemsimulia na kumwambia kwa Kujiamini kwao kabisa ndiyo GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums.

Ngoja niandae Uji wa Mgonjwa LMH.
 
Suala la kibit haliendi kwa mihemko operation iliyopita ilikua ni ya kuua hadi wasio na hatia ilimrad tu anahisiwa, sasa hata mimi nikiwa na chuki na wewe ilikua naweza kutoa taarifa za uongo na ukatangulizwa kaburini muda wa kuchakata taarifa ulikua hamna hali ilikua mbaya ila ilionekana ni tulivu kwasababu media zilizuiwa kabisa
 
Back
Top Bottom