Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwa hakika mwanamke akiwa mzuri hutongozwa mpaka mara 50 kwa mwezi na akiwa mbaya hutongozwa mpaka mara 15 kwa mwezi endapo atakuwa anafanya kazi mahali pa watu wengi (public).
Sasa mikopo ya kausha damu au chupi mkononi ambayo inamtaka arudishe marejesho kila siku ile siku hana cha kurudisha hatamtunuku yule jamaa anayemwachiaga chenji azuie?
Marejesho ya VICOBA ya kila week nayo majanga.
Wanasaliti sana ndoa zao si kwa kupenda ila ni kwa dhiki na baadaye huzoea. Hapo hakuna ndoa tena.
Wife juzi aliniomba akajiunge sacoss nikamjibu hiyo pesa ya kupeleka SACOSS nakuwekea kibubu kizuri cha kisasa na imara tumbukiza humo na mimi nitakusaidia kutumbukiza.
Je, kila wiki utakuwa na pesa ya SACOSS?
Kama huna utawaambia nini?
Nikazima mchezo.
Kwakweli vijana wenye vichenji vya kuzugia kwa sasa ni rahisi kupata tendo la ndoa kwa Wanawake mitaani kwakuwa wengi wana madeni.
Mke wangu kujiunga na mchezo wa fedha labda niwe mlemavu.