Hakuna mwanamme wa kumuelewa mwanamke,wanawake hawaelewi ni kipi wanakitaka kwa mwanamme na katika mahusiano.
Ukimununulia gari,yeye hilo gari atalitumia kwenda kwa hawala kugongwa,utamfungulia duka ,wateja watamla bure na ataanza kuhonga mtaji wako.
Mimi naona sana,kuna jamaa yangu kapanga kwa jamaa ,mke wa baba wa nyumba anajirengesha kwa jamaa yangu,ukiangalia baba wa nyumba kamfungulia mke duka kubwa tu na la maana.
Achana na wanawake mkuu,kumlinda mwanamke ni sawa na kulinda bahari watu wasivue,lazima ataliwa tu.