Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivo mzee I hate the manIla hakufanya poa, core i7 sio poa aisee.
Ukweli mtupu mwanamke halindwi akiamua kugegedwa wacha agegedwe kwanza mbususu ni yake so wee yakuuma nini ikichakatwaHakuna mwanamme wa kumuelewa mwanamke,wanawake hawaelewi ni kipi wan.akitaka kwa mwanamme na katika mahusiano.
Utmununulia gari,yeye hilo gari atalitumia kwenda kwa hawala kugongwa,utamfungulia duka ,wateja watamla bure na ataanza kuhonga mtaji wako.
Mimi naona sana,kuna jamaa yangu kapanga kwa jamaa ,mke wa baba wa nyumba anajirengesha kwa jamaa yangu,ukiangalia baba wa nyumba kamfungulia mke duka kubwa tu na la maana.
Achana na wanawake mkuu,kumlinda mwanamke ni sawa na kulinda bahari watu wasivue,lazima ataliwa tu.
Loo ndugu umepiga palepale kwenye mshono.Kwa hakika mwanamke akiwa mzuri hutongozwa mpaka mara 50 kwa mwezi na akiwa mbaya hutongozwa mpaka mara 15 kwa mwezi endapo atakuwa anafanya kazi mahali pa watu wengi (public).
Sasa mikopo ya kausha damu au chupi mkononi ambayo inamtaka arudishe marejesho kila siku ile siku hana cha kurudisha hatamtunuku yule jamaa anayemwachiaga chenji azuie?
Marejesho ya VICOBA ya kila week nayo majanga.
Wanasaliti sana ndoa zao si kwa kupenda ila ni kwa dhiki na baadaye huzoea. Hapo hakuna ndoa tena.
Wife juzi aliniomba akajiunge sacoss nikamjibu hiyo pesa ya kupeleka SACOSS nakuwekea kibubu kizuri cha kisasa na imara tumbukiza humo na mimi nitakusaidia kutumbukiza.
Je, kila wiki utakuwa na pesa ya SACOSS?
Kama huna utawaambia nini?
Nikazima mchezo.
Kwakweli vijana wenye vichenji vya kuzugia kwa sasa ni rahisi kupata tendo la ndoa kwa Wanawake mitaani kwakuwa wengi wana madeni.
Mke wangu kujiunga na mchezo wa fedha labda niwe mlemavu.
Kibaya zaidi wanawake wengi huishia kufirisiwa na kuwa masikini zaidi.Hana hela ya nini?
Wife ni mama wa nyumbani nampa mahitaji yake yote.
Ni kufuata mikumbo ya wenzake tu , labda wakisimuliana mambo ya fefha za vicoba huko salon anaona wanafaidi lakini hawana maisha yoyote ya maana.
Kumbemuwekee tu. akishafikisha ya kutosha kuanzisha biashara ataanza na huko atakutana na wafanyabiashara/suppliers wenye pesa kuliko wewe. Atagongwa na atakudharau mpaka utashangaa....wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Akishatoka level moja akaingia nyingine, ni lazima amdharau mume wake!
@mshamba_hachekwi💰💰💰🤣🤣👋Anataka saccos kwa sababu hana hela.
Mpe mkeo hela sio kupinga kila kitu.
Vijana tafuteni hela.
Wanamsemo wao, wanapambana[emoji1787]Wanawake wanateseka na mikopo hadi aibu.
Wakati mwingine watoto wanashinda na njaa ili mradi kubana marejesho.
Wafundisheni hao wake zenu
Angekuwa hatafuti hela hiyo anayompa anaitoa wapi. Acha ushabiki wa kukariri.Sasa huoni kama unachompa hakimtoshi?
Sio kwamba unakwepa kuwajibika?
Tafuteni hela vijana mwanamke anayetimiziwa mahitaji yake yote hata kwa bahati mbaya neno saccos haliwezi toka mdomoni mwake.
Narudia TAFUTA HELA BWANA MDOGO.
Kuna Dada mmoja alikopa kausha damu marejesho 58000 kila wiki,anakwambia hakuna kipindi kigumu alichopitia kama hicho. Anasema kama K ingekuwa inafutika kama ufutio aisee asingekuwa nayo tena,maana aligawa K mpaka akajionea huruma.Wewe wacha mke akaone joto la jiwe jinsi hela inavyopatikana. Akitombwer ndio atakuwa na uchungu wa hela.
Alafu sikiliza wewe, dunia ya sasa mke kutombwer wala sio kitu cha kumaindi. Kawaida tuu ni kuulizana style gani mpya kajifunza huko nje mnaijaribu pamoja
Ndio vizuri amepata fundisho hataridia huo ujinga na ataishi kulinga na uwezo wake. Wengi ni tamaaa tuu. Sasa mwanamke umeolewa billz ndani ya nyumba mume anazimudu wee vikoba vya nini wakati nyumbani mchango wako ni kulea watoto na kugegedwaKuna Dada mmoja alikopa kausha damu marejesho 58000 kila wiki,anakwambia hakuna kipindi kigumu alichopitia kama hicho. Anasema kama K ingekuwa inafutika kama ufutio aisee asingekuwa nayo tena,maana aligawa K mpaka akajionea huruma.
Sasa mbona unanitukana mkuu? Sio wote tunafanya hivyo wengine tunaaogopa kukaushwa damu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]QmmmmQe
Afisa mmoja alikuja kushtuka nyumba imewekwa tangazo la mnada.
Wanawake nyoko
Anajitoa ufaham uyu ..ajui hata Mungu aliewaumba wanamtoa kasoro..watajichubua kubadili rangi,watatoa kope asilia wataweka bandia,watabandika kucha za plastic,,watavaa wigi wakidai nywele zao asilia SIO nzuuri.. Mwisho watachoma sindano kuongeza makalio...Me yupi aliwahi kumridhisha Ke kwa kila kitu tangu dunia iumbwe?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Umemaliza vyema kabisa ChifuAnajitoa ufaham uyu ..ajui hata Mungu aliewaumba wanamtoa kasoro..watajichubua kubadili rangi,watatoa kope asilia wataweka bandia,watabandika kucha za plastic,,watavaa wigi wakidai nywele zao asilia SIO nzuuri.. Mwisho watachoma sindano kuongeza makalio...
Asa kiumbe anayemkosoa ata aliemuumba uyo bwege anadhan ataweza waridhisha... mwanamke ni kiumbe kisichojielewa kinataka nn
Usijani kibwagizo tu sio tusi.Sasa mbona unanitukana mkuu? Sio wote tunafanya hivyo wengine tunaaogopa kukaushwa damu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
DuuuuhhHapa mtaani wamama wawili nimewala Kwa ten ten