Endeleeni tu kuwaruhusu wake zenu wajiunge na VICOBA na mikopo ya kausha damu

Kwa hakika mwanamke akiwa mzuri hutongozwa mpaka mara 50 kwa mwezi na akiwa mbaya hutongozwa mpaka mara 15 kwa mwezi endapo atakuwa anafanya kazi mahali pa watu wengi (public)...
Shukuru Mungu kakuomba ruhusa lakini wengine hawaombi wanakurupuka na kuwaleta nyumbani waje watathmini na kupewa mkopo halafu hata unavyotumika wewe huelewi matokeo yake ni kupata taarifa baadae wakati wanakuja beba vitu vya ndani, mkuu toa pole talaka nyingi zimetembea au wapo pamoja kila mtu na chumba chake hii mikopo ni janga la familia [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hakuna mwanamme wa kumuelewa mwanamke,wanawake hawaelewi ni kipi wanakitaka kwa mwanamme na katika mahusiano.

Ukimununulia gari,yeye hilo gari atalitumia kwenda kwa hawala kugongwa,utamfungulia duka ,wateja watamla bure na ataanza kuhonga mtaji wako.

Mimi naona sana,kuna jamaa yangu kapanga kwa jamaa ,mke wa baba wa nyumba anajirengesha kwa jamaa yangu,ukiangalia baba wa nyumba kamfungulia mke duka kubwa tu na la maana.

Achana na wanawake mkuu,kumlinda mwanamke ni sawa na kulinda bahari watu wasivue,lazima ataliwa tu.
 
QmmmmQe
Afisa mmoja alikuja kushtuka nyumba imewekwa tangazo la mnada.
Wanawake nyoko
 
Bado nakataa kuwa Wanawake wote wanaocheza VIKOBA ni Wahuni

Mimi nawafahamu wengi tu wamama waliotulia kwenye ndoa zao na kwa kupitia vikoba wamejenga, wanasomesha Watoto na wanaendesha biashara kubwa tu

Hiyo ni Coincidence tu

Jambo baya likikutokea wewe binafsi haimaanishi kuwa na Wengine inawakuta hivyo

Hapa JF kuna tabia ya kugeneralise mambo
 
Hivi unadhani wenye tabia za kugawa nyuchi hawavai shungi?
Hawasomeshi?
Hawajaolewa?
Wengine mpaka Church wana vyeo kabisa
 
Kuku wanaofungiwa ndani,siku wakitoka nje ndo wanaoongoza kwa kuliwa na vicheche,
na kwa sababu ni wengi mfugaji siyo rahisi kugundua kwamba kuku kachukuliwa
mpaka atakapokuta manyoya vichaka vya karibu na kwake.
Moyo wa mwanadamu ni kichaka kikubwa.
 
muwekee tu. akishafikisha ya kutosha kuanzisha biashara ataanza na huko atakutana na wafanyabiashara/suppliers wenye pesa kuliko wewe. Atagongwa na atakudharau mpaka utashangaa....wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Akishatoka level moja akaingia nyingine, ni lazima amdharau mume wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…