Endeleeni tu kuwaruhusu wake zenu wajiunge na VICOBA na mikopo ya kausha damu

Ukweli mtupu mwanamke halindwi akiamua kugegedwa wacha agegedwe kwanza mbususu ni yake so wee yakuuma nini ikichakatwa
 
Loo ndugu umepiga palepale kwenye mshono.
Hii mikopo ni balaa inachangia pakubwà sana kuvunja ndoa za watu, vikoba ni hatari sana.


Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hana hela ya nini?

Wife ni mama wa nyumbani nampa mahitaji yake yote.

Ni kufuata mikumbo ya wenzake tu , labda wakisimuliana mambo ya fefha za vicoba huko salon anaona wanafaidi lakini hawana maisha yoyote ya maana.
Kibaya zaidi wanawake wengi huishia kufirisiwa na kuwa masikini zaidi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe
 
Sasa huoni kama unachompa hakimtoshi?

Sio kwamba unakwepa kuwajibika?

Tafuteni hela vijana mwanamke anayetimiziwa mahitaji yake yote hata kwa bahati mbaya neno saccos haliwezi toka mdomoni mwake.

Narudia TAFUTA HELA BWANA MDOGO.
Angekuwa hatafuti hela hiyo anayompa anaitoa wapi. Acha ushabiki wa kukariri.

Matatizo ndani ya ndoa yanachangiwa na tamaa za wanawake wakati anakubali kuolewa na mtu anakuwa wa levo ya mtu huyo mfano wa milioni moja lakini baada ya ,muda ana raise levo yake kuwa ya juu zaidi mfano milioni kumi na ,kuanza kulazimisha mumewe awe na hela hiyo kwa gia kuwa mume atafute hela.
 
Kuna Dada mmoja alikopa kausha damu marejesho 58000 kila wiki,anakwambia hakuna kipindi kigumu alichopitia kama hicho. Anasema kama K ingekuwa inafutika kama ufutio aisee asingekuwa nayo tena,maana aligawa K mpaka akajionea huruma.
 
Kuna Dada mmoja alikopa kausha damu marejesho 58000 kila wiki,anakwambia hakuna kipindi kigumu alichopitia kama hicho. Anasema kama K ingekuwa inafutika kama ufutio aisee asingekuwa nayo tena,maana aligawa K mpaka akajionea huruma.
Ndio vizuri amepata fundisho hataridia huo ujinga na ataishi kulinga na uwezo wake. Wengi ni tamaaa tuu. Sasa mwanamke umeolewa billz ndani ya nyumba mume anazimudu wee vikoba vya nini wakati nyumbani mchango wako ni kulea watoto na kugegedwa
 
Kuna jamaa mkewe mara ya kwanza baada ya kushindwa kurudisha mkopo ikabidi wauze kiwanja kulipia

Mke hakukoma akarudia mara ya pili kimya kimya akashindwa tena, ikabidi wana kikundi wenzake wapite na furniture zote za ndani kwao

Mke akaambulia talaka sasa hivi karudi kwao kwa wazazi wake
 
Me yupi aliwahi kumridhisha Ke kwa kila kitu tangu dunia iumbwe?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Anajitoa ufaham uyu ..ajui hata Mungu aliewaumba wanamtoa kasoro..watajichubua kubadili rangi,watatoa kope asilia wataweka bandia,watabandika kucha za plastic,,watavaa wigi wakidai nywele zao asilia SIO nzuuri.. Mwisho watachoma sindano kuongeza makalio...

Asa kiumbe anayemkosoa ata aliemuumba uyo bwege anadhan ataweza waridhisha... mwanamke ni kiumbe kisichojielewa kinataka nn
 
Umemaliza vyema kabisa Chifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…