Eneo ambalo Manji ametoa kwa Yanga kwa ajili ya uwanja lina mgogoro

Nzuri ni ile ya kupima oil,kunawa then kupiga bao rahaaaaaa kabisa mpaka mtu anajisahau anavunja kitu alichokalia kwa utamu wa hilo bao.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Funguka,harambee ya nini?We kama umetapeliwa Shauri yako.Hatuna ujinga wa kuhonga marefa tungekua nao Kuna haja gani ya kuzunguka whatsApp kupitisha bakuli.Sasa hivi tuna hela si mchezo ndugu..
Mimi sijatapeliwa, ila nahisi wapo waliotapeliwa...
Hata kama ningekuwa na nia, orodha iliyopita machoni kwangu ilikuwa ya watu wasio wa upande wangu.
 
Kuna haja kubwa ya Yanga kukaa na kujitafakari na Yusuf Manji. Ulaghai anaoufanya ni wa kiwango cha lami au phd kabisa.

Tuseme ukweli. Ni mafanikio gani Manji kayaleta Yanga? Ohh msimu uliopita imeifunga Simba mara Mbili. Moja ya mafanikio makubwa. Mengine ni kupanda ndege kwenye kushiriki makombe mawili baran afrika.

Nachelea tutasikia yanga wamepewa na coco beach wajenge hotel.
 
kma wanachama wenyewe ndo wewe....ndo maana manji anawashika makalio yenu wadada na mambo ya mpira wapi na wapi zaidi ya kushangilia tu ushindi dada yangu wewe? yaani umekuja na matusi hivi sababu manji kasemwa na hapo hata si mumeo ...je angekuwa mumeo?


manina wewe na BMT Manji anawauma kinoma mi nasema akodi tuuu kwani mpaka sasa haijakodishwa mi shabiki napata nini na asipo kodisha napata nini

faida ya ushabiki ni timu ishinde kama atafanya hayo maboresho wampe tuuuuuuuu
 
Wewe mshabiki wa simba sasa mafanikio ya yanga utayajuaje wakati sio mwanayanga
 

Sasa mbona hueleweki Mkuu? Katika headline yako umesema Manji kuipa Yanga Coco Beach halafu katika sentensi yako ya mwisho katika maelezo yako umeandika kama vile ni kitu tu ambacho unakibashiri lakini huna uhakika nacho. Ningeshauri tu siku nyingine jitahidi sana kuja na taarifa kamili na yenye uhakika zaidi na siyo kuhamisha tu story za vijiweni na kuvileta humu.
 
Sasa hapo we unatakaje man?????
 
umeuliza swali la maana. ndugu yangu. manji kile kiwanja ana tatizo nacho na ndo maana ameona ni bora awasukumie yanga ili asije nyang'anywa kile kiwanja na serikali ya magufuli kwa sababu ya kushindwa kukiendeleza na pia kina mgogoro na NAFCO hivyo amefanya usanii tu.

pia angalia mkataba alioingia wa kujikodisha yanga. ni uhuni mkubwa sana amefanya ndugu yangu. ni aibu hata kusema . lakini sisi wanayanga na simba huwa hatufikirii kabisa katika mambo haya.

Sasa hapo we unatakaje man?????
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] heeeee let's wait & See labda mambo yatakua fit. All we hope good things to happen over there
 
Halafu wanadaiwa bil 11 ndani ya uongozi wake wa miaka isiyozidi 6 sijui ndiyo anazotumia kuwanunua akina Saanya na Mpenzu...
 
Unazid kuthibitsha alicho kisema, we inakuwaje unaumia kuliko wana chama walio amua wampe timu!!?
Yanga sio watoto hata kama wakiamua kugawa timu kwa Manji bure wewe tatizo lako liko wap!!?
 
Unazud kuthibitsha alicho kisema, we inakuwaje unaumia kuliko wana chama walio amua wamoe timu!!?
Yanga sio watoto hata kama wakiamua kugawa timu kwa Manji bure wewe tatizo lako liko wap!!?
Ila umeandika jaziba ikiwa imekupanda, inaonyesha kiasi gani unaipenda Yanga yenu, ila tulia urudi urekibishe maneno kidogo, ili ujumbe wako ueleweke vizuri.
 
Ila umeandika jaziba ikiwa imekupanda, inaonyesha kiasi gani unaipenda Yanga yenu, ila tulia urudi urekibishe maneno kidogo, ili ujumbe wako ueleweke vizuri.
Hahahaha
Ahsante nsha rekebisha
Si unajua mambo ya kuchat huku naendesha baiskeli
 

Mleta mada unachekesha sana! Eti unajifanya uyajui mafanikio ya Klabu ya Young Africans SC kwa kipindi Manji akiwa kama kiongozi.

Ngoja nikusaidie kwa maswali. Ukiweza kupata majibu yake utajua mafanikio ya Manji tangu awe kiongozi pale Yanga.

1. Manji amekuwapo pale Yanga kwa muda wa Misimu mingapi?

2. Yanga amebeba Ubingwa mara ngapi ukilinganisha na Simba? (Kwa kipindi ambacho Amekuwapo pale)

3. Yanga imeshiriki mara ngapi kwenye michuano ya Kimataifa ukilinganisha na Simba? (Kwa kipindi ambacho amekuwapo pale)

Ukijibu haya kwa usahihi kabisa, utakuwa unefahamu mafanikio yake kwa kipindi hiko.
 
Kama haya ndo mafanikio aisee apewe team kabisa iitwe manji sports club. Yaani miaka yote hii hata akili zenu hazipanuki?

Mbona mnakuwa na mtindio wa ubongo kiasi hiki?kuchukua ubingwa wa bara yanga ndo imeanza kipindi cha manji?

Unafurahia KUSHIRIKI? kama inavyoshiriki pasipo mafanikio. Yaani wewe ni shabiki kitumbua kabisa unayefurahia yanga kupanda ndege. SHABIKI KITUMBUA ni shida sana hata hamuwaz zaidi



 
unataka uzi wako uchangiwe?kick zitawauwa ninyi mbumbumbu fc
 
Manji kutaka kufanya Management contract na Yanga imewauma sana Simba kuliko wana Yanga wenyewe, sijui ni kwa sababu gani?yaani wanaonyesha kutofurahia kabisa na kufikia hatua ya kuwakebehi Yanga mpaka kuwaita majina ya ajabu ili kumkatisha tamaa Manji na wana Yanga ili Manji asuse na wao wapate kupumua kwani wanafahamu fika kwamba Manji akiendelea kuwepo Yanga,Simba nao wataendelea kukosa raha,ndio maana unaona hawaishi kuja na maneno kama haya ili kuleta mvurugano pale Jangwani.
 

Hawezi kukuelewa huyu,kwani yeye lengo la kusema hayo ni kukatisha tamaa wana Yanga kwa kuwa anatambua kazi ya Manji pale Jangwani,kwani kwa miaka minne mfululizo walikosa raha mpaka na wao wameenda kumkurupua MO Dewji aje awaokolee jahazi lao,na cha ajabu ni kwamba wakati wao wanaicheka YANGA kufanya Management contract na Manji hawajishangai wao wanaoenda kumpa mtu timu na rasimali zake zote kwa kuahidiwa hisa ambazo hata iweje hawawezi kuwa majority share holder japo wao ni wengi,hawa hawajitambui ,wivu unawasumbua na roho inawauma kwa kuwa wanajua kuendelea kuwepo kwa Manji pale Jangwani ni sawa na kuendelea kwa sherehe kwa misimu ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…