Mleta mada unachekesha sana! Eti unajifanya uyajui mafanikio ya Klabu ya Young Africans SC kwa kipindi Manji akiwa kama kiongozi.
Ngoja nikusaidie kwa maswali. Ukiweza kupata majibu yake utajua mafanikio ya Manji tangu awe kiongozi pale Yanga.
1. Manji amekuwapo pale Yanga kwa muda wa Misimu mingapi?
2. Yanga amebeba Ubingwa mara ngapi ukilinganisha na Simba? (Kwa kipindi ambacho Amekuwapo pale)
3. Yanga imeshiriki mara ngapi kwenye michuano ya Kimataifa ukilinganisha na Simba? (Kwa kipindi ambacho amekuwapo pale)
Ukijibu haya kwa usahihi kabisa, utakuwa unefahamu mafanikio yake kwa kipindi hiko.