Eneo ambalo Manji ametoa kwa Yanga kwa ajili ya uwanja lina mgogoro

Eneo ambalo Manji ametoa kwa Yanga kwa ajili ya uwanja lina mgogoro

Aisee,
Kumbe ndivyo ilivyokua??
Wacha hawa Wakubebwa FC walivabe hili Jumba bovu, pengine msala ukinuka watabebwa pia na serikali
na zile mbili za ndani na nje msimu uliopita pia walibebwa?endeleeni kumuudhi Tambwe nae ataendelea kuwaadhibu popote atakapowakuta
 
Mimi Simba damu ila ninakuambia acha chuki, tunataka maendeleo kwenye mpira.
 
hiii thread akiisoma Tambwe tumekwisha. Manji anachohitaji Yanga ni ulinzi hapo Yanga itapewa heka ishirini nyingine Yanga itamtunzia Manji
 
Hahahaaaa hizi mechi aisee ni hatari sn,sasa mkuu mbona mada yako haiendani na mada kuu ya uzi huu??? ila usisahau kuwa ndiyo refa alishahamua mashabiki wa yanga hawakuwa refa na refa ndiyo muamuzi so hakuna mabadiliko ya goli lile la Tambwe ndo limeshakuwa goli hata tukilalamika hakuna namna ni kujipanga tuu ila ukumbuke kuna la maradona pia na kombe la dunia alibeba hahahaaaaa
Na hakuna nilichofurahi goal kama kufunga Tambwe yule walemdampo kwa kashfa na hii ndio nadhani Mambumbumbu ndio inawauma sana kupigwa kidole cha kati hadharani na Tambwe.
 
Mbona Unadai aliununua kwa bei ya chini halafu tena unasema una makandokando mengi,Je unajua bei halali ya huo uwanja ili kuthibitisha kuwa alinunua bei ya chini? Je unamaanisha Yanga wamepewa Uwanja bila hati ya umiliki wa hiyo ardhi?
Na serikali ni ya wananchi wote hivyo kama kiwanja kina kasoro serikali italazimika kuchukua bila kujali cha timu gani maana serikali haina timu inayoitwa Yanga bali ina timu inayoitwa Taifa starz
Wapi huko ulikotoa kuwa timu ya taifa ni ya serikali?
 
Mbona unalialia? Uwezo wenu wa soka kwasasa bado hamjawafikia Yanga, jengeni timu kwanza walau kwa misimu mitatu ndipo mje msimame na Yanga. Mlifikiri mnacheza na Majimaji?
Wamezoea vya kunyonga vya kuchinja wataviwezea wapi hao Mambumbumbu fc wanataka wawe wanashinda wao tuu ikishinda timu ya Wananchi inakuwa nongwa na kiroho papo.
 
Ivyo vitega uchumi vikijengwa ni watu wangap watapata ajira hebu acheni mawazo ya uchangonishi...matokeo ya mpira yameisha uwanjani naona mmeamua kuhamia upande mwingne
 
Jamaa alishahisi kwamba hilo eneo atakujapokonywa na anajua mtiti utakuja wakati anataka kuhaulisha milki ya eneo. Namsikitikia sana Mama Fatma Karume, siku nyingine asikubali ulaghai kama huo.
 
Ivyo vitega uchumi vikijengwa ni watu wangap watapata ajira hebu acheni mawazo ya uchangonishi...matokeo ya mpira yameisha uwanjani naona mmeamua kuhamia upande mwingne
Wamezoea kulialia kila msimu kama watoto wa kike.
 
Jamaa alishahisi kwamba hilo eneo atakujapokonywa na anajua mtiti utakuja wakati anataka kuhaulisha milki ya eneo. Namsikitikia sana Mama Fatma Karume, siku nyingine asikubali ulaghai kama huo.
Tambweeeeeeee
 
Ni kweli kabisa hasa kwenye kipengele cha kubebwa na mabao ya mkono
Msiwe wepesi wa kusahau, Madaraka aliifunga Yanga goli kwa kuuseti mpira kwa mkono mwaka 1995, Simba wakishinda goli 4 Taifa. Chezeni mpira acheni utoto.
 
Back
Top Bottom