Eneo hatari kwa ajali Mbeya latafutiwa ufumbuzi

Kuna kitu kinaitwa Emergency Procurement hahaahhaahaa dah hainaga negotiations, ni mpunga tu, nadhani hii nayo imeangukia kwenye category hio
 
Afu mtu mmoja amevimbiwa makande utamsikia anaropoka et binadam wote ni Sawa.

Ni sahihi, binadamu wote ni sawa kwa mahitaji maalum kama vile maji, hewa, chakula lakini mambo mengine siyo lazima muwe sawa! Upo hapo wewe unayejiita mbwa?
 

Hata wewe kifo kitakufuata tu hata ukijificha kwenye matendegu ya kitanda! Huwezi pia kukikwepa kifo!
 
Duuuh! isije ikaanza kufanyika hujuma,na baadhi ya watu,wakiona kiongozi kaenda sehemu flani,wanafanya manouver,ajali inatokea, emergency construction, inafanyika,kama ilivyofanyika sasa.
 
Nilijua tu akifa mtu wao watachukua hatua, kufa wewe mbwa sasa! Hata mfe Watu mia itaishia kutumwa barua ya pole kwenye media.....
Mkuu kabla ya kifo Mpango alishatoa maagizo majuzi hivyo kabla ya ajali kazi ilishaanza
 
kumbe ajali hutokea sana hapo ila sa wameona umuhimu wa mbadala baada ya kiongozi mwenzao kufariki.Mungu atufumbuwe mapema kabla.
 
I wish panya road wafanye yao kwa mmoja wa walamba asli ndio watachukua hatua.

Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hawakuliona hilo kabla au walipuuza kwakuwa waliokuwa wanakufa ni raia wa kawaida sasa amekufa kiongozo wanaona huenda wao wanafuata maana tabia za kulazimisha mambo zinawahusu
 
Hata wewe kifo kitakufuata tu hata ukijificha kwenye matendegu ya kitanda! Huwezi pia kukikwepa kifo!
Aliyekwambia nakikwepa kifo nani?

Huo ujumbe ulikuwa ni kwa hao wanaokumbuka shuka asubuhi kwa kujifanya kuchukua tahadhari kwa sababu amekufa mwenzao.
 
Ufumbuzi mpaka watu fulani wangoke

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…