Eneo hatari kwa ajali Mbeya latafutiwa ufumbuzi

Eneo hatari kwa ajali Mbeya latafutiwa ufumbuzi

Inasikitisha sana
Nilijua tu akifa mtu wao watachukua hatua, kufa wewe mbwa sasa! Hata mfe Watu mia itaishia kutumwa barua ya pole kwenye media.....
 
wanatufanya wananchi tuendelee kuomba ajari za wakubwa zitokee kila mara wawapo barabari ili waweze kurekebisha mapungufu ya barabarani. Wanatufikirisha sana hawa viongozi wa nchi hii
 
Back
Top Bottom