Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Sep 16, 2022 #41 Inasikitisha sana Elli said: Nilijua tu akifa mtu wao watachukua hatua, kufa wewe mbwa sasa! Hata mfe Watu mia itaishia kutumwa barua ya pole kwenye media..... Click to expand...
Inasikitisha sana Elli said: Nilijua tu akifa mtu wao watachukua hatua, kufa wewe mbwa sasa! Hata mfe Watu mia itaishia kutumwa barua ya pole kwenye media..... Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 16, 2022 #42 Mpaka wafe wao ndiyo wanarekebisha...
I IQup JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 1,166 Reaction score 1,808 Sep 16, 2022 #43 wanatufanya wananchi tuendelee kuomba ajari za wakubwa zitokee kila mara wawapo barabari ili waweze kurekebisha mapungufu ya barabarani. Wanatufikirisha sana hawa viongozi wa nchi hii
wanatufanya wananchi tuendelee kuomba ajari za wakubwa zitokee kila mara wawapo barabari ili waweze kurekebisha mapungufu ya barabarani. Wanatufikirisha sana hawa viongozi wa nchi hii