Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika, AfCFTA kuanza leo, Tanzania haimo

Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika, AfCFTA kuanza leo, Tanzania haimo

BORA wakina RICHMOND SYMBION maisha yalikuwa yana unafuu kuliko huu utawala usio na rushwa watu wanalia kama mbwa mtaani.

Wewe unafanana na wale jamaa waliomwambia Mwl. Nyerere 'ni heri wangeendelea kutawaliwa na wakoloni kuliko kula mkate usio na siagi chuoni'. Mwl. akawafukuza chuo na hatimaye walirudishwa kwa sharti la kuchapwa viboko
 
Huu uwoga kwa Wakenya huwa mtamu sana...

Hahaaa! Sio uwoga juu ya watu fulani. Ni suala la kutathmini maslahi mapana ya taifa, kupanga na kuchagua. Hatimaye jana UK imejitoa rasmi EU kwa kusaini mikataba mipya ya kibiashara. Hajaogopwa mtu hapo, yamewekwa mbele maslahi ya taifa lao. Na hilo ni jambo la kawaida kabisa.
 
Nina unga mkono hoja Bora walivyo fanya
 
Hahaaa! Sio uwoga juu ya watu fulani. Ni suala la kutathmini maslahi mapana ya taifa, kupanga na kuchagua. Hatimaye jana UK imejitoa rasmi EU kwa kusaini mikataba mipya ya kibiashara. Hajaogopwa mtu hapo, yamewekwa mbele maslahi ya taifa lao. Na hilo ni jambo la kawaida kabisa.

Sasa kwa muungano wa mataifa 54 ya Afrika mbona utaje bidhaa za Kenya tu kama sio uwoga kwa Wakenya.
 
Sioni Nigeria
Sioni Drc
Hapo masoko ya maana ni South Afrika, Ethiopia na Egypt..
Kama hata Zambia hawapo sioni big deal ..
Mkuu mkataba hauko hivyo unavyodhani, ni AU agreement ilihitajika nusu ya nchi za Afrika kuridhia ili mkataba uwe implemented kwa bloc nzima ni kama WTO inavyooperate na ukianza utalazimika kufuata mashariti whether you like or not.

Soma zaidi kwenye hii link.

Sasa kwa muungano wa mataifa 54 ya Afrika mbona utaje bidhaa za Kenya tu kama sio uwoga kwa Wakenya.

Aaah, sasa niitaje Ghana au Senegal kule mbali, unadhani zinaathari au manufaa makubwa sana kwetu kuliko Kenya? Rwanda na majirani wengine wanafurukuta tu lakini bado sana. Ni wazi kwa ukanda huu wa A. Mashariki na kati, Kenya ndiyo inaviwanda vingi zaidi na inahemea soko la nchi zote jirani. Na hilo sio kosa, tena nawapongeza. Ni wajibu wa nchi jirani zenyewe kupima manufaa ya mikataba ya kibiashara wanayosaini. TZ tunakuja huko soon, kwa sasa tangulieni tu.
 
Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC hazitatozwa ushuru wa forodha wakati bidhaa za Tanzania zitatozwa.

Nini athari zake.
Madhara ya kuongozwa na kichaa ndio hayo sasa.
 
Mkuu mkataba hauko hivyo unavyodhani, ni AU agreement ilihitajika nusu ya nchi za Afrika kuridhia ili mkataba uwe implemented kwa bloc nzima ni kama WTO inavyooperate na ukianza utalazimika kufuata mashariti whether you like or not.

Soma zaidi kwenye hii link.

Mkuu Quinine japo una make sense lakini nakupinga kwny hoja moja.

Anachomaanisha The Boss ni kuwa japo umeanza kuoperate, kuna nchi muhimu haziimplement hivyo tija hakuna sana kwa upande wetu.

Na hoja yake ni sahihi kwasbb kwa mfano Tanzbmania inafuata Dualism sio monism. Hivyo hapo ilisign mkataba, ilikua ni lazima tudomesticate ili tuwe bound.

Maana yake ni kuwa hizo trade offs na custom rules haziapply kwa Tanzania na nchi alizozitaja

Anyway, Sijui hata kama nimeeelweka maana mi mwnyw nimeandika halafu mwishoni najiuliza sjui nimeandika nini hiki.[emoji23][emoji23]
 
Kama Zambia na Drc Tu hawapo
Basi Tz ,Zambia na Drc tunaweza sema wataendelea kufanya biashara kama walivyo zoea..

Achilia mbali OAU Wana kawaida ya kutangaza mambo na hakuna ufatiliaji
Yanabaki Kwa makaratasi
 
Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC hazitatozwa ushuru wa forodha wakati bidhaa za Tanzania zitatozwa.

Nini athari zake
Utitili wa mashirikisho ya kiuchumi Ni sehemu ya Majanga barani Afrika, mfano EAC Ina matatizo kibao, AU, SADC nazo vilevile. Tulitakiwa tuboreshe hayo mashirikisho kwanza.
Sioni haja Tanzania kuwa sehemu ya Umoja huu kwa sababu tutapoteza pesa nyingi kwa kulipa tozo za uanachama bila faida.

Hii ni kea sababu, sisi tuna Bandari ambayo hupokea mizigo ya nchi jirani zilizo upande usio na bahari. Hivyo wao hutulipa sisi tozo mbalimbali kulingana na mikataba Kama vile SADC n.k, tukijiunga tutafinya mapato yetu ikiwa sisi hatuna bidhaa nyingi tunazoagiza kutoka bara. Kwa maana bidhaa zote zitokazo nje ya Tanzania Ni za kwao au wananchi wao kwa kiasi kikubwa.
 
Anapoilinganisha Tanzania na Kenya anamaanisha nini kwa mfano?
Sijaona mahali aliposhangilia. Its just tu ww huna sense of humor. Mtu kuitaja tanzania unaona kuwa ameshangilia.
Stop politics. Ina corrupt your mind man.. unakuwa kituko.
 
Mfumo wa bidhaa kuleta Tanzania kwa sasa kufanya biashara sio mzuri ishu ya kusajiri bidhaa bado tbs sijui tfada tena kodi TRA kote huko malipo makubwa mpaka hiyo bidhaa imfikie mlaji wa mwisho atakua amebebeshwa mzigo mkubwa sana wa malipo ambayo wao wanaona sawa tuu...
 
Back
Top Bottom